Ombeni Nnyari

Ombeni Nnyari Karibu kwenye Ukurasa huu kwajili ya Kujifunza NENO la MUNGU, na kushaurina mambo mbalimbali kuhusu kumtumikia MUNGU.

13/05/2025

Shaloom shaloom ndugu zangu, na wana Mungu:

Kuna Mambo kadhaa ya kujifunza Kwa Ayubu

1) kumcha Bwana, kuwa na moyo unaomulea Bwana ': Ayubu 1:1,3

2) Hakuweka moyo Wake kwenye vitu, Yani Mali zake : k**a Ayubu angeweka moyo Wake kwenye mali angekufa kwa presha wasi shatani maan kila kitu kili teketea: watoto ,ngamia ; n,k lakini bado alimtaza Mungu :; Ayubu 1:13,20;:

3) kuokoka (kumcha Bwana) hakukuzuii usiingie kwenye majaribu Bali unapata nguvu za kuyashinda majaribu:: Isaya 41:10 isaya 43:1,4 Luka 4:1,13::

26/11/2024

Address

Arusha
1222

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ombeni Nnyari posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Ombeni Nnyari:

Share