18/07/2026
Assalaam Alaikum .
Leo tarehe 18/7/2026 yamefanyika makabidhiano rasmi ya ofisi ya bakwata mkoa wa Dar es salaam, toka kwa aliekuwa sheikh wa mkoa wa Dar es salaam Sheikh Walid Alhad kwenda kwa Kaimu Sheikh wa mkoa wa Dsm Sheikh Abbas Ramadhan.