Swahili Community Network

Swahili Community Network Tunatunza mazingira na kuhakikisha yako safi

Karibu Tukuhudumie
19/04/2026

Karibu Tukuhudumie

Wotewote Mnakaribishwa
20/02/2026

Wotewote Mnakaribishwa

Swahili na bidhaa zetu zilizotengenezwa kwa mwani. Hizo ni sabuni za kuogea na mafuta ya Mwani💥💥💥 # # #  # #  # #  # #  ...
02/01/2026

Swahili na bidhaa zetu zilizotengenezwa kwa mwani. Hizo ni sabuni za kuogea na mafuta ya Mwani💥💥💥

# # #
# #
# #
# #
# #
# #

Tunapatikana Kilwa - Somanga barabara ya kinjumbi

Vikundi vilivyoanziswa na Swahili Community Network na kupewa elimu ya utengenezaji bidhaa za mwani, Leo tarehe 31 Decem...
31/12/2025

Vikundi vilivyoanziswa na Swahili Community Network na kupewa elimu ya utengenezaji bidhaa za mwani, Leo tarehe 31 December vimeanza kutengeneza mafuta ya mwani.

Swahili Community Network leo tar 22/12/2025 Tumekabizi logo Pamoja na chapa za vikundi vya Tusonge mbele,Mapinduzi na J...
22/12/2025

Swahili Community Network leo tar 22/12/2025 Tumekabizi logo Pamoja na chapa za vikundi vya Tusonge mbele,Mapinduzi na Jitegemee.
Chapa na logo hizo Tumewasaidia kwa kutoa gharama ili kuwapa msukumo wa kutengeneza bidhaa za mwani.

Vikundi hivyo awali Swahili tulivianzisha na kuwapa mafunzo ya utengenezaji wa bidhaa za mwani.

Makabidhiano hayo yamefanyika katka ofisi ya kijiji cha Somanga kaskazini mbele ya Mwenyekiti wa kijiji na mtendaji kijiji cha Somanga kaskazini.

Swahili Community Network leo tar 09 Dec 2025 Tumefanya ukaguzi wa eneo la mkoko mmoja ili kupata eneo la kitalu au sham...
09/12/2025

Swahili Community Network leo tar 09 Dec 2025 Tumefanya ukaguzi wa eneo la mkoko mmoja ili kupata eneo la kitalu au shamba darasa la NYASI BAHARI Ili tuanze kufanya urejeshwaji wa NYASI BAHARI.

Ukaguzi huo tuliambatana na Afisa Uvuvi wa Somanga Ndgu Charles Isaya akiwa k**a mtaalam wa uvuvi katka eneo hili la somanga

Wanaswahili Wikipakia udongo kwenye viriba kwaajili ya upandaji wa miche ya mikoko. Kilwa - Somanga
03/12/2025

Wanaswahili Wikipakia udongo kwenye viriba kwaajili ya upandaji wa miche ya mikoko. Kilwa - Somanga

Kitalu cha Miche ya mikoko kilichoandaliwa na Swahili Community netwok
03/12/2025

Kitalu cha Miche ya mikoko kilichoandaliwa na Swahili Community netwok

03/12/2025
With andrejko.epta – I just got recognised as one of their top fans! 🎉
02/12/2025

With andrejko.epta – I just got recognised as one of their top fans! 🎉

Swahili Community Network wakifanya urejeshwaji ardhi ya mikoko kilwa Somanga
02/12/2025

Swahili Community Network wakifanya urejeshwaji ardhi ya mikoko kilwa Somanga

Endereço

Chamusca

Notificações

Seja o primeiro a receber as novidades e deixe-nos enviar-lhe um email quando Swahili Community Network publica notícias e promoções. O seu endereço de email não será utilizado para qualquer outro propósito, e pode cancelar a subscrição a qualquer momento.

Compartilhar