Hadithi Nzuri

Hadithi Nzuri Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Hadithi Nzuri, Youth Organization, K. town, Westlands.

BREAKING NEWS Kijana mmoja Ak**atwa Huko Mjini marekani Katika jiji kuu la Mombassa.alikuwa na Passport Faki Ikionesha k...
07/12/2025

BREAKING NEWS

Kijana mmoja Ak**atwa Huko Mjini marekani Katika jiji kuu la Mombassa.
alikuwa na Passport Faki Ikionesha kuwa yeye ni Mkaazi wa AFRICA Kusini! Cha ajabu zaidi Kijana huyu Alik**atwa na Paketi Tatu Za Tende Ambazo ni Marufuku Katika Kijiji cha mpaka wa Nyarugusu Na Kakuma!
🤣🤣🤣

MR PLAY BOY🕺EPISODE 1written by Adithi Nzuri ✍️✍️Ilikua Ni morning nikiwa Zangu Kwa bed nime sleep,,,,,,,,,juh hiyo day ...
17/07/2024

MR PLAY BOY🕺
EPISODE 1
written by Adithi Nzuri ✍️✍️

Ilikua Ni morning nikiwa Zangu Kwa bed nime sleep,,,,,,,,,juh hiyo day sikuwa Na Appointment Na mtu yoyote Wala customerz yoyote Ilibidi Ni sleep.
k**a tu vile mnajuwa wakuu me Ni Ndere( driver)Wah Uber.

ANGUKA NAYO 👇👇

👉 Ghafla nikaskia
Tenje📱 Ikiwa Ina ring k**a bell ya Nursary.
me kucheki Nani ana Ni call kupata Ni Janet mmoja katika macustomerz Wangu Tena Ni Beshte ju tulisoma Na yy, but yeye Anajiweza kidogo yahani Hako Na life poa Adii me ujokes Na yeye Sana. Nika pick call yake

ME: hellow Janet 🙄
Janet: Hello straw... Night ilikuaje?
ME:Night Ilikua Bored Sana juh YA mvua 😁😁
Janet: Nikujie Basi coz Nataka unipeleke 🏦 bank Na usichelewe.
ME: me okay Sawa Wacha Ni take shower 🚿 then nikuje faster.
Janet: okay just do faster Na wait Ww tu.

Nilitoka Kwa bed Na kuelekea Bathroom za Huku vienyeji c mnajuw Tena wakuu. 😁😁 Bathroom yenye ukiwa ndani kichwa Na shingo Ziko Njee Adii Kevo Akipita mnasalimiana Kwanza. 🤣🤣🤣
juh mimi Ni mm Ikabidi Ni wash my body
Na nilivyo maliza nikarudi Kwa Room Nika change nguo zangu Na kuwacha Range Rover🛵 yangu Adii Kwa Janet🤣🤣🤣

piga Makofi tukishuka nayo 🤣🤣

nikafika Adii Kwa Gate ya Janet Nika mcall

ME:📱 Mandam Niko njee
Janet: Okay Na come tu sai.

nikawait soon Janet Anatoka Kwa Compound Yao Adii pahali Niko.
Sasa Janet Ankuwanga mcute Disgn yengine Dedri wah Na me Nakuanga Niki mmezea mate wallaih 🤣🤣 Sema Kutu🤣

Janet: Leo umetokelezea
ME: ehh C Unajuw tu kawaida yangu 😁
Janet: hope Leo unuki kwapa😁😁
ME: wahh Uliskia wapi nikinuka kwapa?🙄
Janet: Ni jokes tu!
ME: Ingisha Matter core Kwa Range Rover 🛵 tuishie pahali umesema.
Janet: 🤣🤣🤣 Hatii Range Rover 🛵 Na vile Hii Uber 🛵 imechapa hivi utadhani Ni ya mkulima.

ME: Wacha matusi ndogo ndogo Na kwenyu Amna hata wheelbarrow😁😁

Janet: 😁😁 Sawa

me Na Janet Tunakuwanga Tuki jokes juh tuliwai soma pamoja so Kuna vile tunachimbana kiundani😁
sema Dose💉💉

shuka nayo 👇
Tukiwa Kwa road
Janet: Straw... Kwani ujawai fikiria kuwa Na Bibi? juh unaenda kuzeeka🤣
ME: mbona Na wait tu ww useme utakuwa mke Wangu Lini Na Nianze kutafuta pesa za Kubuy New mattress
Janet: Adii Nik**a uwezani Kwa Bed Ww😁
ME: Tujaribu ndio utajuw k**a mm Ni nani🙄
Janet: Leo Kwetu Kuna Night Party so ukuje tafadhali🙄
ME: kwani Ni matanga Ama??
Janet: Nop Ni Bash ya Besthe Wangu so itakua pale Makejani tu 👆
ME: Mnataka kunibaka sindio😁😁
Janet: Wacha Jokes I'm serious And ukuje Plz
ME: okay nitakuja I promise!! Haya Tumefika bank shuka Sasa

Janet: Baadae Sasa jioni
ME: kwani Aturudi Pamoja??
Janet: Nop weeh Endelea Na job then I will call you Kifika jioni.
ME: Okay Baadae Basi Matter core kubwa 🤣🤣🤣
Janet: ufala Utawacha Ww 😁😁

Akaingia Adii Bank juh Njaa ilikua tumbona Na nilikua Sija kunywa kiamsha kinywa Ikabidi Ni ingiye Kwa Restaurant moja inakuwanga Near 🏦 bank

So nili Ingia Na Kuketi kwenye kiti kabla sija Order Anything Alikuja Mtoto smart yahani Tz Wana semanga Pisi Kali
bobz Ilikua Full, Matter core nazo Zilikua full utadhani ako Na mzigo vile Tena Alikua mcute uwezi believe, MH sema Dose 💉💉
mjealous ikapanda juhh 🍆
Dem Akakuja Na kukaa pahali nilikua Yahani tukashare Table.🙏
Sema Full Nyege tu vile nilicheki lips Na vile Ni mrembo wah nikameza mate.

Rose: Mambo
ME: poa Sasa?
Rose: fresh tu!

tulikaa kiasi without kuongeleshana
waiter Alikuja.

Waiter: You couple Mnataka Niwa serve Na nn?🙄
Rose: me nataka Spaghetti 🍝 Na Kuku🍗 pia Fanta🍾 Isikose tafadhali!
Waiter: Na ww kijana Me?
Me Niletee Mkate🍞 ya 70sh Na Chai☕ ya 30bob

Sema Kuona mbele 🤣 🤣 Huyu Dem Anaeza niwekelea Bill yake So Wacha fikirie kitu ya Kufanya.

Rose: What is your name??
ME: Naitwa Strawberry ama Straw🙄
Rose: Uh Name yako Ni sweet Sana
ME: Adii yako pia Ni Tamu.

Sema kimeumana 🤣🤣 Naona kulipa bill yenye sijakula wallaih

Rose: thanks uh Naeza kuomba kitu plz?
ME: kitu Gani hiyo??🙄
Rose: Niko Na Ny3g3 Nadai unisaidie kutoa!!🙄 Najua Ni hard Sana Dem kusema hivi coz Utaniuliza Boyfriend Wangu Hako wapi!! but me Ni mgeni Hapa Kenya Natokea Tanzania Na ww tu ndio boy mwenye nime patana Na yy Na Nika mpenda Plz Accept Plz.

Sema kimeumana🤣🤣🤣 mjealous 🍆hiko high Level juh nilijua Ni mtego Ikabidi nikatae kishingo upande 🤣

ME: Aiziiii Nitajuaje k**a Ww umekamiliaka??🙄
Rose: Niko Sawa usijal Adii nitakupa Pesa mingi just kubali tu kudate Na mm|🙄
ME: MH Sasa surely una nipendea nn 🙄 🤣
Rose: just nime kupenda tu 💕.

Dem Alikuja Na kunipiga Deep kiss 😘
ngori Kwanza Lips Zake 👄 Tamu k**a
Lolpop

TO Be Continue...

Address

K. Town
Westlands

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hadithi Nzuri posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share