Salemu Mult-solution reel ministry

Salemu Mult-solution reel ministry hey people to be true. expect allot from this page like conversation and worship that will transform and change your whole Life. welcome

24/06/2026

wacha ni mshukuru mungu sana kwa umbali huu hakika ametenda sana so naa apewe sifa zaidi

Warumi 827 Na yeye aichunguzaye mioyo aijua nia ya Roho ilivyo, kwa kuwa huwaombea watakatifu k**a apendavyo Mungu.28 Na...
08/05/2026

Warumi 8
27 Na yeye aichunguzaye mioyo aijua nia ya Roho ilivyo, kwa kuwa huwaombea watakatifu k**a apendavyo Mungu.

28 Nasi twajua ya kuwa katika mambo yote Mungu hufanya kazi pamoja na wale wampendao katika kuwapatia mema, yaani, wale walioitwa kwa kusudi lake.

29 Maana wale aliowajua tangu asili, aliwachagua tangu asili wafananishwe na mfano wa Mwana wake, ili yeye awe mzaliwa wa kwanza miongoni mwa ndugu wengi.

30 Na wale aliowachagua tangu asili, hao akawaita; na wale aliowaita, hao akawahesabia haki; na wale aliowahesabia haki, hao akawatukuza.

31 Basi, tuseme nini juu ya hayo? Mungu akiwapo upande wetu, ni nani aliye juu yetu?

20/02/2026

Address

Ukunda Ramisi Road
Ukunda
800-100

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Salemu Mult-solution reel ministry posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share