12/10/2025
He ran the air waves between 2017- 2020 under SAILORS 254 band with his lines on "WAMLAMBEEZ" song. REST IN PEACE Shalkido 🕊️
Shalkido anaspin na mayeng (Mh ha na mayeng)
Ka ni dem anaspin na mayeng (Mh ha na mayeng)
Ka ki-home anashikisha na mayeng (Mh ha na mayeng)
Zikishika anadrive na mayeng (Mh ha na mayeng)
Ka huamini enda uulize boroyeng (Mh ha na boroyeng)
Anajua ye huspin na mayeng (Mh ha na mayeng)
Usiworry nimefintika
Kulikuwa na kajam fulani but tumekapita
Pewa tot ziku-nice twende dancing floor
Na juu kaduka umefunga nipe yoh
Kising’aing’a toka chini hiki kyangu kimesee
Nipe sita mbili mbili wamnyonyez nikupee
Ukibleki naanza kukuguza unafurahi
Nakudema dema nikushike ufeel ukiwa high
Shalkido kwenye mic nazitema kwenye floor
Ikiwabamba mnipe nduru niwashow nikiflow
Niwashow nikiflow
Niwashow nikiflow
Wamlambez (wamnyonyez)
Wamlambez (wamnyonyez)
Wamlolee…eh.