30/04/2026
Kutokana na mizozo inayoendelea kati ya kabila mbili majirani mpakani mwa tanariva na Kitui wAnaoumia wengi wanawake,,Watoto wadogo na walemavu pamoja na wakongwe..
Sisi k**a Mororo INTERFAITH twaomba Centre for Rights Education and Awareness (CREAW) United Nations Development Programme - UNDP kwA kupata support ya fedha ili kuanzisha Midahalo ya kuhubiri Amani(Peace)na (Cohesion )Kati yetu.. Mororo interfaith Twatarajia kuwatumia Barua Pepe mashirika ili kuwezeshwa kufanya hio midahalo ili kuwaokoa wanawake na watoto wadogo pamoja na wakongwe na walemavu...