30/04/2026
From inbox:
Admin kuna huyu jamaa anajiita wonder from kiandutu....huyu msee anahangaisha raia sana akiwa na mbogi ule huku kiandutu.....mostly wanaibia watu morning wakienda job ... Kwanza hawa wamama wa vibanda wenye hua wanaenda kununua vitu makongo asubuhi.....kindly do something 🙏🙏