14/11/2024
Waefeso 6:1-4 (KJV) Enyi watoto, watiini wazazi wenu katika Bwana, maana hii ndiyo haki.
Waheshimu baba yako na mama yako; amri hii ndiyo amri ya kwanza yenye ahadi,
Upate heri, ukae siku nyingi katika dunia.
Nanyi, akina baba, msiwachokoze watoto wenu; bali waleeni katika adabu na maonyo ya Bwana.