15/08/2022
Kwa kuwa matokeo ya uchaguzi yametangazwa, watu wengi wanasherehekea na wengine wengi wamesikitishwa. Tukumbuke umuhimu wa kudumisha amani na kwamba wapinzani wa kisiasa pia ni majirani zetu na Wakenya wenzetu. Tafadhali ripoti uvumi yoyote au vitisho vyovyote kwa amani na usalama kwa kututumia ujumbe. Tutajaribu kukusaidia na habari za ukweli.
----------
Since the results of the presidential election have been announced, many people are celebrating and many others are disappointed. We should all remember the importance of maintaining peace and that political opponents are also our neighbours and our fellow Kenyans. Please report any rumours or threats to peace and security by sending us a message. We will try to assist you with accurate information.