10/07/2026
Youth wa Homa Bay wanahitaji information, si rumours.
Sai wengi hawapati county updates on time, na zikifika mara mob zinakuwa misinformation. Hii inafanya vijana wakose opportunities na kushindwa kumake informed decisions.
County yote ikiwa na youth officers watatu tu, na its evident. Tunataka more youth officers na youth-friendly spaces, vijana wanaweza kupata verified updates, kuuliza maswali, na kuparticipate kwa decisions zinawa involve
Information ni power. Youth deserve facts, si rumours.
Ratificationassembly