13/06/2026
Huyu ni Mitchell Nicole Mwanafunzi aliyechomeka kupitia mkasa wa moto pale Utumishi Girls Academy siku kadhaa zilizopita atazikwa nyumbani kwao Kathigagaceru Embu county, Leo tarehe 13/6/2026.Sad Ukiwa Online Ambia tu mamake na babake poleππ