08/09/2022
Msichana mmoja kwa jina Esther Munyiva kutoka Ukambani, miaka ishirini na mitano imepita, alikuwa anafanya kazi ya nyumba kwa mdosi mmoja kwa jina Erick Mwita na bibiye Edinah Kwamboka kwa sababu wazazi wake walikufa na ikabidi afanye kazi yeyote ili azaidie watoto wao wadogo
Munyiva ilifika wakati mmoja akaugua ugonjwa wa TB, akawa anakohoa sana lakini wadosi wake badala watafute njia mfanyikazi wao atapata matibabu walimfukuza na madharau wakisema uenda wewe umeugua ukimwi k**a wazazi wako nenda kwenu ukufie uko.
Munyiva alipokuwa akitoka na kufikilia penye ataenda kulala kwa bahati nzuri akakutana na mwanume mmoja, kwa vile penye anafanya kazi alikuwa amefukuzwa akakubali waende na huyu mwanaume angalau apate mahali pa kulala ata k**a ni siku yao ya kwanza kujuana. Ilipofika asubuhi huyu mwanaume alipeleka Munyiva hosipitalini akapimwa akapata matibabu na akamuambia naomba kutengeneza ndoa na familia pamoja na wewe, Munyiva akakubali juu aliona ni k**a alikuwa amefika mwisho katika hii maisha
Huyu mwanaume alikuwa na Biashara ya hotel ndogo sana pale Kawangware, wakashirikiana na bibiye na wakatia bidii sana kwa biashara yao, baada ya miaka chache wakafungua hoteli kubwa sana sehemu ya Westlands, na miaka inapoendelea kusonga wamefungua hoteli saba kufikia saa hizi, wako na kampuni yao ya kutengeneza mikate na pia wako na kampuni ingine ya kutengeneza "Unga" Munyiva alipokuwa akingoea nasi alisema kwa mwezi wanatengeneza faida ya 30,000,000 hadi 40,000,000 kulingana na accountant wao Jackson Osoro na akasema Kwamba kufikia saa hizi wako na wafanyikazi zaidi ya hamsini
Yule mwanaume tajiri wa zamani wa Munyiva, mwenye alimfukuza kwake kazi yake iliisha miaka tatu imepita, akapeleka Bibiyake na watoto kwao Kuria, alipokuwa aking'ang'ana kutafuta kazi Nairobi kwa bahati nzuri alipatana na Munyiva na Munyiva akampatia kazi k**a dereva wake pale ambapo anamlipa 30,000 kwa mwezi! Ukumbuke Munyiva alikuwa mfanyikazi wake na alikuwa anamlipa 2,500 kwa mwezi !!!! Sa