14/09/2024
Assalam Alaykum
Ndugu katika imani tunawatahadharisha kuna mtu anatumia namba hizi👇🏾 kuwatumia ujumbe kwa WhatsApp akiwa ameweka picha ya Samahat Sheikh Msafiri Omari tafadhali huyo ni tapeli na mdukuzi msimpe ushirikiano.
+254786825733
+254756343959
+254762797378