Pwani Trends

Pwani Trends Your Coast, Your News, Your Vibes! WhatsApp: 0758160696, Call: 0783868397 or email: [email protected]
(2)

Get the latest trends, juicy gossip, crime updates, breaking news, and side-splitting MEMEs from the Coast region of Kenya, all in one spot!

🚨 AJALI MBAYA YARIPOTIWA MARERENIDreamline yagongana na pikipiki eneo la Stage ya Kwanza, Marereni.🚑 Watu watatu wamerip...
06/10/2026

🚨 AJALI MBAYA YARIPOTIWA MARERENI

Dreamline yagongana na pikipiki eneo la Stage ya Kwanza, Marereni.

🚑 Watu watatu wameripotiwa kujeruhiwa vibaya na kukimbizwa hospitalini kwa matibabu.

🚨 AJALI MBAYA YASHUHUDIWA MARERENI

Ajali mbaya ya barabarani imeripotiwa kutokea eneo la Stage ya Kwanza, Marereni, mwendo wa saa kumi na moja jioni, ikihusisha basi la Dreamline na pikipiki.

Kwa mujibu wa taarifa za awali, watu watatu walijeruhiwa vibaya katika ajali hiyo. Majeruhi walipatiwa huduma za kwanza katika zahanati ya kibinafsi ya Kijanaheri (Marereni) kabla ya kukimbizwa Malindi General Hospital kwa matibabu zaidi.

🙏 Tunawaombea majeruhi nafuu ya haraka na kuwakumbusha watumiaji wote wa barabara kuwa waangalifu wakati wote.

😂🌊 “KAMA SINGEOLEWA NA GUYZ FROM COAST BAHARI NINGEKUWA NAIONEA INSHA TU.”— DIANA YEGONDiana Yegon awapa maua wanaume wa...
06/10/2026

😂🌊 “KAMA SINGEOLEWA NA GUYZ FROM COAST BAHARI NINGEKUWA NAIONEA INSHA TU.”

— DIANA YEGON

Diana Yegon awapa maua wanaume wa Pwani kwa mtindo wa utani.

😂🌊 “KAMA SINGEOLEWA NA GUYZ FROM COAST BAHARI NINGEKUWA NAIONEA INSHA TU.”

Kuna watu wamehamia Pwani kwa kazi, wengine kwa biashara, na wengine kwa mapenzi. Lakini kwa Diana Yegon, inaonekana ndoa ndiyo ilimfungulia mlango wa kuifahamu bahari kwa ukaribu zaidi. 😂🏝️

🔥🍿 Wajuaji wa shughuli, ni jambo gani ambalo umelijua, kulitembelea au kulifurahia maishani kutokana na mpenzi au mwenzi wako? Na je, wanaume wa Pwani wamepewa maua yanayostahili hapa ama la? 😅👇

06/10/2026

First case of Ebola infection confirmed in Kenya.

🙏🏽🏠 MUNGU AMEJIBU MAOMBI! ❤️Nyumba ya ndugu wanne wenye ulemavu kutoka Nyari-Ganze imeanza kujengwa, pamoja na tanki la ...
06/10/2026

🙏🏽🏠 MUNGU AMEJIBU MAOMBI! ❤️

Nyumba ya ndugu wanne wenye ulemavu kutoka Nyari-Ganze imeanza kujengwa, pamoja na tanki la maji. 💪🏽❤️

Asanteni kwa kuwashirikisha na kuwarudishia tabasamu. 🙏🏽

🙏🏽🏠 MUNGU AMEJIBU MAOMBI! ❤️

Je, unawakumbuka wale ndugu wanne wenye ulemavu kutoka Nyari-Ganze ambao Lemmy Lito wa Sogohe aliwahi kuwapost akiomba msaada kwa ajili yao?

Leo kuna sababu ya kutabasamu. 😊 Nyumba yao imeanza kujengwa, na tanki la maji pia limeanza kuwekwa. 🙏🏽❤️

Shukrani kubwa kwa watu wote wenye moyo wa upendo walioshirikiana katika kuhakikisha familia hii inapata matumaini mapya. Mlichofanya si msaada tu—mmewarudishia tabasamu na matumaini. 👏🏽❤️

🚨 AJALI YA ROYAL LINER YARIPOTIWA MARIAKANIBasi la masafa marefu la kampuni ya Royal Liner limeripotiwa kuanguka eneo la...
06/10/2026

🚨 AJALI YA ROYAL LINER YARIPOTIWA MARIAKANI

Basi la masafa marefu la kampuni ya Royal Liner limeripotiwa kuanguka eneo la Weighbridge, Mariakani kwenye barabara kuu ya Mombasa–Nairobi.

🚑 Taarifa kuhusu chanzo cha ajali na majeruhi bado tunazifuatilia.

🚨 AJALI YA ROYAL LINER YARIPOTIWA MARIALANI

Ajali ya barabarani imeripotiwa kuhusisha basi la masafa marefu la kampuni ya Royal Liner. Basi hilo limeripotiwa kuanguka eneo la Weighbridge, Mariakani, kando ya barabara kuu ya Mombasa–Nairobi.

🚑 Sababu ya ajali na idadi ya majeruhi bado haijathibitishwa rasmi. Tunaendelea kufuatilia taarifa zaidi kutoka eneo la tukio na mamlaka husika.

🙏 Tunawatakia ahueni ya haraka waliojeruhiwa.

Tutaendelea kuwajuza kadri taarifa zaidi zitakavyopatikana.

🏆🔥 KILIFI PRIDE!THOYA JOHN KAHINDITeacher, Shangweni Mixed Secondary School🏆 Innovation & ICT Integration in Teaching Aw...
05/10/2026

🏆🔥 KILIFI PRIDE!

THOYA JOHN KAHINDI
Teacher, Shangweni Mixed Secondary School

🏆 Innovation & ICT Integration in Teaching Award
🌍 World Teachers’ Day 2026

FROM GANZE TO THE NATIONAL STAGE! 🇰🇪👏🏽

🏆🔥 KILIFI HAS DONE IT AGAIN! — CONGRATULATIONS MR. THOYA JOHN KAHINDI!

Kilifi pride on the national stage! 🇰🇪🔥 Our heartfelt congratulations to Mr. Thoya John Kahindi K., a teacher at Shangweni Mixed Secondary School, Ganze Sub-County, Kilifi County, for being recognised under the Innovation and ICT Integration in Teaching Award at the 2026 World Teachers’ Day national celebrations.

The national celebration was held on Monday, October 5, 2026, at the Kasarani Indoor Arena in Nairobi, under the theme “Standing with teachers: 60 years of protecting the profession, advancing its status and shaping our futures.” The recognition ceremony was presided over by H.E. Dr. William Samoei Ruto, President of the Republic of Kenya and Commander-in-Chief of the Defence Forces.

🌟💻 FROM GANZE TO THE NATIONAL STAGE! This is a proud moment for Shangweni, Ganze and the entire Kilifi County. A teacher from our own backyard has been recognised among educators making an impact through innovation and ICT integration in teaching.

Kilifi, this is our moment! 👏🏽🔥 Let’s celebrate one of our own. Congratulations, Mr. Thoya John Kahindi! 🇰🇪🏆
Presenter Kai Sheddy Doko Gideon Maitha Mung'aro Hon. Aisha Jumwa Katana Hon. Owen Yaa Baya Hon. Ali Hassan Joho Fikirini Jacobs H.E. Salim Mvurya Rt. Hon Amason Jeffah Kingi EGH

🎤🔥 MALANGA INA MC WAKE!MC KASOSO ANAZIDI KUSHIKA MIC!Kijana shupavu anayejitengenezea jina kwa kuongoza sherehe, shughul...
05/10/2026

🎤🔥 MALANGA INA MC WAKE!

MC KASOSO ANAZIDI KUSHIKA MIC!

Kijana shupavu anayejitengenezea jina kwa kuongoza sherehe, shughuli za kijamii na hata nyakati za majonzi.

⭐ Mrate 0–5!

🎤🔥 MALANGA INA MC WAKE! MC KASOSO ANAZIDI KUSHIKA MIC!

Kuna vijana wanapewa nafasi, wengine wanaitengeneza wenyewe. Kutoka Malanga, MC Kasoso ni kijana anayezidi kuonyesha uwezo wake wa kushika mic, kuongoza umma na kuleta uhai kwenye shughuli mbalimbali—kuanzia sherehe hadi shughuli za kijamii na hata nyakati za majonzi.

Lakini sasa tuwache yeye ajisemee kwa mic—nyinyi ndio majaji! 😎🎤 K**a umewahi kuhudhuria shughuli aliyoongoza, MC Kasoso unampa alama ngapi kati ya 0–5? Na kwa wale waliowahi kumuona live, ni nini kinamfanya awe tofauti? 🔥👇

05/10/2026

Today being a world teachers' day, ni mwalimu yupi unamkumbuka kwa kujenga maisha yako? K**a uko na picha yake tuma tumsherehekee

🔥 “NINACHOJUA ANANIPENDA. GO MANGINE NI GENU.”“Mimi naye siwezi chunguza mtu ako na akili zake.”— HARMS MUNGAMapenzi, ma...
05/10/2026

🔥 “NINACHOJUA ANANIPENDA. GO MANGINE NI GENU.”

“Mimi naye siwezi chunguza mtu ako na akili zake.”

— HARMS MUNGA

Mapenzi, maoni ya followers na majibu ya moja kwa moja vyageuka vita vya comments.

🔥❤️ “NINACHOJUA ANANIPENDA. GO MANGINE NI GENU” — HARMS MUNGA AJIBU MAHASIDI

Baada ya kushiriki picha ya mke wake Tricia Nyevu, Harms Munga alijikuta katikati ya comments zilizojaa ushauri, tahadhari na vijembe. Mshenga Hassan aliandika: “You talk too much about your lady... you are disturbed and stressed. Wahenza muche zhomu kuriko ye mche kukuhenza.” Kauli iliyomaanisha kuwa Harms huenda anampenda mke wake kuliko anavyopendwa.

Lakini Harms hakupitisha kimya. Alimjibu moja kwa moja: “Mshenga Hassan unawaza wewe.” 🔥😂 Sasa comments zimegawanyika kati ya wanaosema mwanaume anapaswa kuonyesha mapenzi yake waziwazi na wale wanaoamini mapenzi mengi ya kuonyeshwa hadharani huleta matatizo. 🍿🔥 Tuseme ukweli—mwanaume anayempost mke wake kila mara anaonyesha upendo wa kweli, au mara nyingi huwa anatafuta kuthibitisha jambo kwa watu?

04/10/2026

Unatakia nani usiku mwema jioni ya leo?

Address

Mombasa/Malindi Road
Mombasa
80200

Telephone

+254783868397

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pwani Trends posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share