Wamama mashinani widows CBO MSA County

Wamama mashinani widows CBO MSA County Restore dignity en provide opportunities to widows to break cycle of poverty & enhance socioeconomic

Viongozi wetu walikutana kupanga mikakati ya launching ambayo itafinyika huu mwezi panapo uzima
20/02/2024

Viongozi wetu walikutana kupanga mikakati ya launching ambayo itafinyika huu mwezi panapo uzima

Tarehe 7 tulikutana na wajane wetu wote wa mombasa county.walikua na wakati mzuri sana.at Tononoka hall
20/02/2024

Tarehe 7 tulikutana na wajane wetu wote wa mombasa county.walikua na wakati mzuri sana.at Tononoka hall

Katibu wetu Linet Alipata fursa kujumuika na wajane wa Jomvu  subcounty pamoja na viongozi wa jomvu Chamnyu Bi.Biulaya i...
05/11/2023

Katibu wetu Linet Alipata fursa kujumuika na wajane wa Jomvu subcounty pamoja na viongozi wa jomvu Chamnyu Bi.Biulaya idris na wenzake 2.wajane wamekubaliana na wameamua kusimama imara na wenzao.ilituweze kuinuana,kujitegemea na kujiendeleza





NGUVU YA MAMA NI MAMA na UMOJA WETU NGUVU YETU

Wamama mashinani widows CBO Tumepatwa na msiba.mmoja wetu Dama Kazungu kutoka jomvu mikindani amefariki dunia jana.mwili...
22/09/2023

Wamama mashinani widows CBO Tumepatwa na msiba.mmoja wetu Dama Kazungu kutoka jomvu mikindani amefariki dunia jana.mwili umehifadhiwa Portriez moutuary,matanga inaendelea nyumbani kwake mikindani mtaa kwa mwanzia kopakopa.mazisha mtajulishwa matayarisho yanaendelea karibuni tulie na wanaolia.

Leo kiongozi wetu Milly Yuko Mwakirunge.bado tunendelea na kuhamasisha.wamama wamwakirunge wamejitokeza na wamekubali ku...
16/09/2023

Leo kiongozi wetu Milly Yuko Mwakirunge.bado tunendelea na kuhamasisha.wamama wamwakirunge wamejitokeza na wamekubali kujiunga na wajane wamama mashinani widows cbo.lengo kuu ni kuinuana kupitia biashara ndogo ndogo,Kupeana miradi kupitia haya yote tutaweza kubadilisha Maisha yetu na kueza kujitegemea.





NGUVU YA MAMA NI MAMA NA UMOJA WETU NGUVU YETU

Angenda yetu ni moja tu,kunzunguka Kona zote za Mombasa tukihamasisha wamama wajane.jana kiongozi wetu Milly alikua Bomb...
16/09/2023

Angenda yetu ni moja tu,kunzunguka Kona zote za Mombasa tukihamasisha wamama wajane.jana kiongozi wetu Milly alikua Bombo akiongelesha wamama.



Wamama tunapitia changamoto mbalimbali,lakini tukiunganaa na Tuwe na lengo moja tunaeza jiinua wenyewe nakubadilisha Maisha yetu na jamii kwa ujumla.

NGUVU YA MAMA NI MAMA NA
UMOJA WETU NGUVU YETU

Wamama mashinani widows CBO twatoa shukran zetu thabiti kwa Mama yetu Mlezi Zamzam,mama County kwa kisimama na sisi.Pamo...
10/09/2023

Wamama mashinani widows CBO twatoa shukran zetu thabiti kwa Mama yetu Mlezi Zamzam,mama County kwa kisimama na sisi.Pamoja tutafika mbali.

WETU NGUVU YETU

Wamama mashinani widows wanapatikana Mombasa County 001.ni wamama ambao wamejitafuta nakujipata.wameamua kuinuana wenyew...
10/09/2023

Wamama mashinani widows wanapatikana Mombasa County 001.ni wamama ambao wamejitafuta nakujipata.wameamua kuinuana wenyewe kwa wenyewe.tumekataa kutumiwa, kunyanyaswa na kudanganywa.mikakati tulionayo ni kuinua na kuboresha viwango vya Maisha ya wajane MSA.ku empower mjane na biashara ndogo ndogo na kupeana miradi kwa vikundi vyetu ili mjane aeze kujitegemea ukiinua mama umeinua jamii nzima.wajane tusimame imara huu ni Mwamko mpya




UMOJA WETU NGUVU YETU

Address

Mvita
Mombasa

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wamama mashinani widows CBO MSA County posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Wamama mashinani widows CBO MSA County:

Share