03/07/2026
WEWE NA MIMI TUNAWEZA KULETA MATUMAINI KWA WATOTO MAYATIMA
Watoto katika Kituo cha The Gate of Hope - Ugatuzi wanapitia wakati mgumu. Wengine hawafiki shule, na wengine huenda nyumbani alasiri wasirudi kwa sababu ya njaa. Walezi wao wanashindwa kuwapata hata mlo mmoja.
Nakusihi utoe kile kidogo unachoweza ili tubadilishe hali hii.
"Dini safi mbele ya Mungu ni kuwatunza yatima na wajane katika dhiki." Yakobo 1:27