Ujeri Uhumike CBO

Ujeri Uhumike CBO Our land, our right, our wealth

HAPPY INTERNATIONAL WOMAN'S DAY
08/03/2026

HAPPY INTERNATIONAL WOMAN'S DAY

Ujeri Cbo Wakiongozwa Na Senator Hon Faki Mwinyi Haji Wa County Ya Mombasa Katika Kongamano La MOMBASA OVERSiGHT PUBLIC ...
09/02/2026

Ujeri Cbo Wakiongozwa Na Senator Hon Faki Mwinyi Haji Wa County Ya Mombasa Katika Kongamano La MOMBASA OVERSiGHT PUBLIC ENGAGEMENT FORUM Kuzungumzia Changamoto Za Marsala Mbali Mbali Ya Miradi Ya County Ya Mombasa, Ujeri Cbo Walitoa Changamoto Zào Za Ardhi Za Mwakirunge Ward, Hata Hivyo Senator Hon Faki Alisena Hatua Za Kiuhakika Zitachukuliwa

27/01/2026

Our Land Our Future, And Our Wealth

Ujeri Cbo Wakizumgumza Mwenyekiti Wa Administrative Land Scheme1 Committee Bwana Lawrence Masha Kuhusu Ugavi Wa Ardhi Hi...
13/01/2026

Ujeri Cbo Wakizumgumza Mwenyekiti Wa Administrative Land Scheme1 Committee Bwana Lawrence Masha Kuhusu Ugavi Wa Ardhi Hiyo, Na Alitokenza Kwamba Changamoto Ni Za Kamati Wala Sio Serikali Ama Viongozi

HAPPY 😁 BIRTHDAY To Baba Raila Odinga,Rest Well Never Forget Your Wisdom For Kenyan
07/01/2026

HAPPY 😁 BIRTHDAY To Baba Raila Odinga,Rest Well Never Forget Your Wisdom For Kenyan

01/01/2026

Happy follow-versary to my awesome followers. Thanks for all your support! Rama Ndurya

Ujeri Cbo Wakiongozwa Na Mwenyekiti Wa Administrative  Scheme1 Land Committee  Lawrence Masha Kuzungumzia Mafanikio Na C...
14/12/2025

Ujeri Cbo Wakiongozwa Na Mwenyekiti Wa Administrative Scheme1 Land Committee Lawrence Masha Kuzungumzia Mafanikio Na Changamoto Ziñazo Wasibu Wakati Mgao Wa Ardhi Hiyo Ukikaribia

Ujeri  Cbo Pàmoja Na Wakazi Wa Scheme1 Wakiongozwa Na Kisauni Constituency Boss Hon Rashid Juma Bedzimba Kuzungumzia Hal...
03/12/2025

Ujeri Cbo Pàmoja Na Wakazi Wa Scheme1 Wakiongozwa Na Kisauni Constituency Boss Hon Rashid Juma Bedzimba Kuzungumzia Hali Ya Ugavi Wa Ardhi Yao

Ujeri Cbo Pàmoja Na Wakazi Wa Scheme1 Wakiongozwa Area Assistant Chief Digirikani Sub Location Kuzungumzia Mambo Ya Ardh...
01/11/2025

Ujeri Cbo Pàmoja Na Wakazi Wa Scheme1 Wakiongozwa Area Assistant Chief Digirikani Sub Location Kuzungumzia Mambo Ya Ardhi Nà Maendeleo, Hata Hivyo Serikali Imeahidi Ugavi Huo Kufanyika Kabla Ya Mwaka Ujao

Ujeri Cbo Wakiongozwa County Boss Wa Mombasa Gav Abduswammad Shariff Nassr Pamoja Na Area Mp Wa Kisauni,Area Mca Mwakiru...
26/10/2025

Ujeri Cbo Wakiongozwa County Boss Wa Mombasa Gav Abduswammad Shariff Nassr Pamoja Na Area Mp Wa Kisauni,Area Mca Mwakirunge Ward Na Viongozi Wote Kutoka Area Ward Ya Mwakirunge, Ujeri Cbo Wakiongozwa Chief Secretary Bwa Mohamed Kingi Kutoka Matatizo Ya Ardhi Za Mwakirunge Ward, Hata Hivyo Gavana Alikubali Kutatua Hizo Shida Kabla Ya 2027

Ujeri Cbo Members Collaborate With Others Land Champion From Others Stakeholders, Kisauni Resident Must Aquire Land Titt...
24/07/2025

Ujeri Cbo Members Collaborate With Others Land Champion From Others Stakeholders, Kisauni Resident Must Aquire Land Tittle Deeds It's Our Ambition As Nation

Ujeri Cbo Make Strong Engagement Between Guu, ngombe  People And Ujeri Cbo, Ambition Target Is About Land Problem People...
24/07/2025

Ujeri Cbo Make Strong Engagement Between Guu, ngombe People And Ujeri Cbo, Ambition Target Is About Land Problem People Of Guungombe And County Government Of Mombasa

Address

Mwakirunge
Mombasa

Telephone

+254746599586

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ujeri Uhumike CBO posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Ujeri Uhumike CBO:

Share