Manyunyu CBO

Manyunyu CBO A Community Based Organization in Mombasa Kenya.

The Organization Uses Art as a Tool of Change to the Community... Full dissemination of Information Through Performances both Stage and Screen on matters of Governance, Health, Education, CVE Environment/Climate Advocacy, Civic education, Human Rights among other sectors

05/10/2026

MSIMU UMEKARIBIA. HAMASA NJEMA KWA VIJANA... MUSIHADAIKE NA MASLAHI YA SIKU MBILI YATAYOHARIBU MAISHA YA MIAKA MITANO. TUDUMISHE AMANI

SIKU YA AMANI ULIMWENGUNIMaadhimisho ya Siku ya Amani Ulimwenguni mwaka huu yamefanyika wakati ambapo kumekuwa na taarif...
21/09/2026

SIKU YA AMANI ULIMWENGUNI

Maadhimisho ya Siku ya Amani Ulimwenguni mwaka huu yamefanyika wakati ambapo kumekuwa na taarifa zinazotia wasiwasi kuhusu hali ya usalama, hususan katika Eneo Bunge la Kisauni. Baada ya kipindi kirefu cha kuimarika kwa usalama na kupungua kwa vitendo vya uhalifu, kwa masikitiko makubwa kumeshuhudiwa kurejea kwa baadhi ya matukio yanayovuruga amani ya wananchi.

Miongoni mwa changamoto zilizobainika ni ongezeko la matukio ya mashambulizi ya kutumia mapanga, wizi wa pikipiki za bodaboda, matumizi ya bodaboda zisizosajiliwa katika vyama vya waendeshaji kwa shughuli za kihalifu, pamoja na vitendo vingine vinavyohatarisha usalama na utulivu wa jamii.

Katika kuadhimisha siku hii muhimu, sisi k**a washikadau wa maendeleo na usalama wa jamii, kwa kushirikiana na wadau mbalimbali chini ya uongozi wa vyombo vya usalama vya Kisauni, tulishiriki matembezi ya amani yaliyoanzia Mjambere Police Station (Dog Section) hadi Junda. Baada ya matembezi hayo, tulikutana na kujadiliana kwa kina kuhusu hali ya usalama katika Kisauni, changamoto zilizopo na mikakati ya kudumu ya kukabiliana na uhalifu ili kuhakikisha amani inaendelea kudumu katika jamii yetu.

Aidha, Manyunyu ilipata fursa ya kuwasilisha mchezo wa kuigiza uliodhihirisha hali halisi ya hisia na changamoto zinazoweza kujitokeza kutokana na ukaribu wa kipindi cha uchaguzi nchini. Ujumbe mkuu ulikuwa ni kuhimiza mshik**ano, uvumilivu, na kudumisha amani wakati wote.
Amani ni wajibu wa kila mmoja wetu. Tushirikiane kuilinda leo na kwa vizazi vijavyo.
Kenya Community Support Centre (KECOSCE) National Government Administrative Officers - NGAOS Hamso Manyunyu Alianh Fobès Said Muhsin Sarah Wangui Sudi A. Boti Search for Common Ground Kenya European Union in Kenya Lend A Voice Africa





MOMBASA YOUTH CONSULTATIVE AND DIALOGUE FORUMManyunyu was engaged in a consultative and dialogue forum on peace matters ...
10/09/2026

MOMBASA YOUTH CONSULTATIVE AND DIALOGUE FORUM

Manyunyu was engaged in a consultative and dialogue forum on peace matters held at Mtopanga Catholic Church, Mombasa.

The forum was facilitated by the National Steering Committee on Peacebuilding and Conflict Management (NSC) and brought together key stakeholders from the Junda community to deliberate on peace and security dynamics affecting the area.

In attendance were the County Commissioner, Deputy County Commissioner, Chiefs and Assistant Chiefs, County Government representatives, religious leaders, parents, and youth from across the sub-county among others.

The engagement provided a platform for candid discussions on community-level conflict, the coordination of peace initiatives from village to county level, and the critical role of youth as agents of peace.

As an invited organization, Manyunyu was honored to be part of the dialogue and to contribute to the reflections on what has worked, the existing gaps, and the way forward for sustainable peace in Mombasa.

We appreciate the NSC Secretariat and all stakeholders for creating space for this important conversation.







18/08/2026
International Youth Day reminds us that young people are not just the future — they are leading solutions right now. Whe...
18/08/2026

International Youth Day reminds us that young people are not just the future — they are leading solutions right now. When we create space for youth voices, we build stronger, more inclusive communities.

That is why Manyunyu Organization, together with Youth Alive Kenya
and other organizations, joined to commemorate this year’s International Youth Day 2026 under the theme: “Local Youth Actions for the SDGs and Beyond.”

The day began with a powerful procession from Saba Saba to Tononoka Social Hall, where youth came together to engage, share ideas, and commit to action.
We were present. We participated. We made our voices heard.

MANYUNYU TULIKUWEPO 💪🇰🇪


ORGANIZATIONAL CAPACITY STRENGTHENING TRAININGAddressing the need for stronger, more transparent, and resilient communit...
15/07/2026

ORGANIZATIONAL CAPACITY STRENGTHENING TRAINING

Addressing the need for stronger, more transparent, and resilient community institutions, Manyunyu CBO participated in a two-day Organizational Capacity Strengthening Training organized by Youth Alive Kenya for the Mombasa Working Group (MWG).

The training was facilitated by the team from SAV SKILLS and aimed at equipping community-based organizations with practical skills to lead with integrity, manage resources responsibly, and create lasting impact.

Key thematic areas covered during the sessions included effective leadership, accountability and transparency, good governance, organizational culture, stages of organizational growth, and the core attributes of strong, healthy organizations. Participants engaged in discussions and practical exercises designed to improve decision-making, strengthen systems, and promote teamwork for better service delivery.

The capacity-building process continues, and Manyunyu CBO remains committed to taking the lead in applying these lessons to ensure our community directly benefits from the knowledge gained.





Happy Holidays From us to You.
24/12/2025

Happy Holidays From us to You.


Address

Mombasa

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 12:30
Saturday 10:00 - 12:30

Telephone

+254718700018

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Manyunyu CBO posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Manyunyu CBO:

Shortcuts

Share