07/06/2023
Let's talk guys.
Hivi tunawazaje ama kufikiriaje? Wakati mzazi ama wazazi watachukua jukumu la kueleza Nyezo ama tabia zako kwa mchumba wko?
Hebu tujadiliane tutoe fikra zetu kwa hili jambo.