03/06/2026
WA Kikuyu ni kabila, just like Luo, Kalenjin, Luhya, Kamba na wengine. Every Kenyan belongs to a certain community or tribe. Sasa kuita Wakikuyu "tribalists" kana kwamba wao pekee ndio wana kabila ni ukabila wenyewe.
Moi aliwahi kuwa na Raila, wakakosana kisiasa, lakini baadaye wakafanya kazi pamoja. Kibaki, ambaye alikuwa Mkikuyu, worked with Raila and later Raila became Prime Minister under the coalition government. Uhuru Kenyatta pia alifanya Handshake na Raila na baadaye aka-support presidential bid yake.
So it's unfair to label an entire community as tribal simply because of their ethnic background. Kenyan politics has always involved leaders from different communities working together. Tuache kuhukumu watu kwa kabila zao, tuwahukumu kwa character, actions na leadership yao.
Kenya belongs to all of us. π°πͺβοΈ
Na Mimi NI MKABILA.