06/11/2024
BE WARNED By Sammy Ondimu Ngare
STOP BUYING SECOND HAND THINGS FROM PEOPLE YOU DONT KNOW.....
A friend called me last night akiomba ushauri juu ya brother wake alishikwa na simu ya wizi..
Hapa sinanga story mob but kumwambia aproduce mwenye alimuuzia ama receipt kwa police asaidike..
hapo k**a hakuna receipt na aliyemuuzia hamjui,yeye ndiye anashtakiwa....
Na akileta aliyemuuzia sio eti atachiliwa hivo haraka virahisi..nimeona wengi wakiumia kwa makosa yenye wangehepuka.
This is a warning to all wapendao kubuy simu toka kwa watu hawawajui na hata hawapewi receipts..
It is good nikuwarn mapema before ikupeleke kamiti.. k**a watu saa hizi wanhudumia kifungo kamiti kwa kosa ambalo wangehepuka..
If u buy a phone toka kwa mtu haujui and maybe the owner aliuawa,ukipatikana nayo hautaepuka mkono wa sheria..
check this "Legal experts say that if arrested in possession of an item stolen from a crime scene and you are unable to prove that you didn't know it was stolen,The court will assume that you were at the scene"
Kindly k**a ni phone,laptop,any other electronics,nenda buy new toka kwa genuine shops..Ama uliza yule Damaris Wa Dama Spares Original akuonyeshe place poa pa kubuy genuine phones..
hii tabia ya kupata mtu tao anakushow simu na unanua kwa bei rahisi itakuletea shida..
Hakuna askari atakuambia haya maneno.. Mimi nimeamua nikuambie ukweli.
SAMBAZA UJUMBE HUU UWAFIKIE FRIENDS WAKO..USISEME SAMMY HAKUKUAMBIA.
Askari ni Binadamu
Ben Samaritan