14/10/2026
🔥🔥 𝗪𝗘𝗪𝗘 𝗡𝗜 𝗠𝗘𝗖𝗛𝗔𝗡𝗜𝗖, 𝗪𝗘𝗟𝗗𝗘𝗥 𝗔𝗠𝗔 𝗙𝗔𝗕𝗥𝗜𝗖𝗔𝗧𝗢𝗥 𝗟𝗔𝗞𝗜𝗡𝗜 𝗛𝗨𝗡𝗔 𝗖𝗘𝗥𝗧𝗜𝗙𝗜𝗖𝗔𝗧𝗘?
Unaishi ama unafanya kazi Isiolo au Marsabit? Uko na at least 2 years’ practical experience katika hiyo trade? 👇🏾
Unlock potential yako na Wezesha Vijana Recognition of Prior Learning (RPL) Certification Programme! 🎓🔧. RPL ni process ya kuthibitisha skills umejifunza kwa site, kupitia experience, kazi ya mikono ama apprenticeship bila kulazimika kurudi class kuanzia zero.
Ukipata RPL certificate, unafungua milango ya:
✅ Job opportunities mob
✅ Better income na growth ya biashara yako
✅ Opportunities za kupata kazi hata nje ya Kenya 🌍
📄 Download form: https://tinyurl.com/4cch48be
Jaza form, attach copy ya ID, halafu drop form kwa CRS, Caritas Marsabit ama Caritas Isiolo offices.
📅 DEADLINE: 𝟭𝟲𝘁𝗵 𝗢𝗰𝘁𝗼𝗯𝗲𝗿 𝟮𝟬𝟮𝟲
🔥 Usibaki nyuma! Uko na skills. Sasa zipatie certificate na ufungue milango ya opportunities zaidi! 💪🏾