Practical apostolic work,call,mission,services and fellowships

  • Home
  • Kenya
  • Giriama
  • Practical apostolic work,call,mission,services and fellowships

Practical apostolic work,call,mission,services and fellowships Real office of True Apostleship work,just like the way it was in the early church,

18/08/2026

♧IS GOD ONE IN THREE?
WHAT IS THE BIBLE SAYING ABOUT TRINITY,?
OR WHAT IS YOUR UNDERSTANDING ABOUT TRINITY, ?
♧JE MUNGU NI MMOJA KATIKA UTATU?
NI NINI BIBLIA INASEMA KUHUSU UTATU?
AMA UNAFAHAMU VIPI KUHUSU UTATU,?

♧♧____ MAELEZO KUHUSU KUELEWA UTATU,
__mungu ni mmjoa ambaye ni Baba wa wote,Mungu mwenyezi aliyeumba mbingu na nchi katika angano la kale,
_Mungu si watatu,Mungu ni mmoja tu,
__Wakristo wa makanisa mengine kwa mfano k**a SDA au la Paul Branham hudhani au kufundisha ati UTATU uliletwa na kanisa la Katoliki,
__UTATU ni nini?
je ni mungu baba,mungu mwana na mungu Rohomtakatifu?
,Biblia haikusema hivyo?
__Lakini kimsingi UTATU inakuja au ilitokana na angano jipya,nayo inatokana na angano jipya la Yesu Kristo mat 28:18 alijitambua k**a mwana,Rohomtakatifu na Baba,
nayo inaorodheshwa hivi,BABA,MWANA na ROHO,
__iwapo kuna ubishi ikiwa fundisho la UTATU linaonekana ni la upotofu basi itatokana na vile jinsi wewe unaelewa huo UTATU kibinafsi na sio vile iliandikwa,au itatokana,na jinsi unavyoitafsiri wewe kibinafsi,maana biblia haijasema kuna 1 Mungu baba,
2 mungu mwana,
na 3 mungu Roho,hatujasoma popote hivyo,
lakini inasema hivi; 1 John 5-7-8
vs 7 kwa maana wako watatu washuhudiao [mbinguni, Baba, na Neno, na Roho Mtakatifu, na watatu hawa ni umoja.
9 Kisha wako watatu washuhudiao duniani ,Roho, na maji, na damu; na watatu hawa hupatana kwa habari moja.
je maandiko hayo si mtu aliye mbishi atuambie ilimaanisha nini?

♧♧___TUTAKUULIZA MASWALI HIYO KWAKO NAWE UTUJIBU KUHUSIANA NA FUNZO LA MUNGU KATIKA UTATU, MAANA SISI TUNAPOSOMA MAANDIKO INATUELEZA TOFAUTI,
__Petro pia inasema kuna vitu vitatu vishuhudiao..
__yesu aliposema MAT 28,18 batizeni watu kwa jina la Baba,mwana,na Rohomtakatifu,akimaanisha nini??
__au Yesu aliposema munamuamini mungu,muniamini na mimi pia,?mbona hakusema mungu pekee?
__au Yesu aliposema,
17 Nao walipomwona, walimsujudia; lakini baadhi yao waliona shaka.vs 18 Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, Nimepewa mamlaka YOTE mbinguni na duniani.
(swali iwapo Yesu ni mdogo je anawezaje kuwa na mamlaka yote?)
Mat 11:27 Akasema, Nimekabidhiwa VYOTE na Baba yangu; wala hakuna amjuaye Mwana, ila Baba; wala hakuna amjuaye Baba, ila Mwana,na ye yote ambaye Mwana apenda kumfunulia.
(Swali baba anabaki na nini?)
__au mimi na Baba(Mungu) tu umoja ama tuko kitu kimoja,or operate in oneness,etc one person,etc
__au mungu anazungumza katika wah ewe mwana enzi yako ni ya milele,wah 1:8
__au Baba anasema huyo ndiye mwanangu mpendwa msikieni yeye anachosema,luk ,tunaona kwa kubatizwa,nafsu ya Yesu ilkuwako,Roho alishukia kisha baba akazungumza,
__au Yesu anasema mimi ndiye Bwana wa sabato,mat 12:8
au
john 17:5Na sasa, Baba, unitukuze mimi pamoja nawe, kwa utukufu ule niliokuwa nao pamoja nawe kabla ya ulimwengu,...
__au Yesu anasema nikienda mimi nitamtuma Roho,sasa iwapo Roho ni ya baba mbona mwana anamtuma huyo roho badalaya Baba,na nisipoenda roho huyo hatakuja,John
___au mahali pengine anasema ukimtukana mwana utasamehewa ila Roho hutawai samehewa,Sasa huyo roho kiwango chake(rank)ni gani iliyo juu kwa mwana?nk
__mbona mwana alisamehe dhambi,aliabudiwa au kumsujudiwa,anasema nitakupa uzima,pepo walimsihi asiwahukumu,anasema nitakapokuja kwa ufalme wangu,ataketi kuhukumu wanadamu,atakaye nionea haya,....
__pia baba anamnena kuhusu malaika wake(yesu)
malaika wangu atamwenda mbele,.....ex 23
__nitasimama katika mwamba,
__malaika wa Bwana akasimama katika ya Waisraeli na Wamisri k**a wingu,
__malaika aliye mtokea musa alijiita mungu mimi ndiye,...kwanini?
Yesu ana uwezo wa kumpa mtu uzima wa milele,why?
malaika,
__Wazee na viumbe hai walianguka na kumuabudu yesu mbinguni,kwanini na mungu ni mmoja??
Viumbe arthini na majini na chini ya dunia kuzimu walitoa sauti na kumtukuza
kwanini baba hakulalamika?
na kwanini malaika alimuua herode na hakumuua Yesu alipokufuru,??
__mbona biblia inasema alijivika ubinadamu akashuka akaishi kati yetu,ni nani Yesu au mungu mwenyewe??
__Yesu alipokuwa hapa duniani alichukua viwango vya kujitambulisha k**a mungu,maana watu walipomsujudu hakuwakataza,
___Yesu ni alikuwa title tofauti akiwa mbinguni lakini akawa ni mwana alipokuja duniani,ni ofisi ya mwana ila mbinguni alikuwa mtu tofauti inasema mwanakondoo alionekana anechinjwa nazo ni roho saba zilizo mbele ya kitu cha enzi zinaenda duniani,
malaika mkuu alipotangaza ninani atakaye weza kuzivunja vile mihuri saba,hakukuwa na yeyote mbinguni au duniani au chini ya dunia kuzimu,
__gen 1:1 Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi.vs 2 Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji ndipo
mungu akasema;iwe nuru,ikawa nuru,
tunaona Roho alikuwako wakati mungu ananena,
__katika mwanzo,John 1:1 inasema,_
vs 1 Hapo mwanzo kulikuwako na Neno(yesu),naye neno(yesu)alikuwako
kwa Mungu(Baba,),naye neno(yesu)alikuwa Mungu(Baba), naye Neno(Yesu) alikuwa Mungu(Baba),
vs 2 Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu
3 Vyote vilifanyika kwa huyo(Mungu); wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika,
SWALI hapo inaonyesha Yesu alikuwa Mungu? ki vipi?
Rev 1:7 Tazama, yuaja na mawingu; na kila jicho litamwona, na hao waliomchoma;yaani Waisraeli waliomuua)na kabila zote za dunia(mataifa) wataomboleza kwa ajili yake. Naam.Amina.
8 mimi ni alfa na omega, mwanzo na mwisho,Asema Bwana Mungu, aliyeko na aliyekuwako na atakayekuja, Mwenyezi,mbona anatumia ofisi ya Yesu?
__ikiwa Yesu alikuwa tu nabii,mbona Yesu mara nyingi hakutumia jina la mungu ila aliamuru tu pepo au ugonjwa bila kusema kwa jina la Baba ndio ifanyike,k**a vile sisi binadamu lazima tutumie jina la Yesu ndio ifanyike,
__yohana alipomsijudia hakukataa,ila alipomsujudia malaika alikataa,

♧♧___KUNA YOYOTE ANAYEPINGANA NA FUNDISHO LA UTATU BASI ATATUJIBU MASWALI HAYO YOTE KUTOKA HAPO JUU,?
__Ni kwanini Yesu alikuwa akijilinganisha na uwezo wa Mungu au utendaji wa mungu pekee hadi wayahudi wakataka kumpiga kwa mawe,maana alikuwa ni mwanadamu naye anakufuru??
__mbona inasema kwa jina la Yesu kila goti litapigwa,mbona isiseme kwa jina la mungu pekee?na mbona mungu anakubali kila goti lipigwe kwa Yesu??

♧♧__AU MTU ASIYEKUBALIANA NA UTATU ATUELEZE MISTARI HII TUNAYONUKUU INAMAANISHA NINI?
Phil,5:6,ambaye yeye mwanzo alikuwa yuna NAMNA ya Mungu, naye hakuona kule kuwa SAWA na Mungu kuwa ni kitu cha kushik**ana nacho;
7 bali alijifanya kuwa hana utukufu, akatwaa namna ya mtumwa, akawa ana mfano wa wanadamu;
8 tena, alipoonekana ana umbo k**a mwanadamu, alijinyenyekeza akawa mtii hata mauti, naam, mauti ya msalaba.
9 Kwa hiyo tena Mungu alimwadhimisha mno, akamkirimia Jina lile lipitalo KILA jina;
10 ili kwa jina la Yesu kila goti lipigwe, la vitu vya mbinguni, na vya duniani, na vya chini ya nchi;
11 na kila ulimi ukiri ya kuwa YESU KRISTO NI BWANA, kwa utukufu wa Mungu Baba.
(SWALI)
(mbona inasema alikuwa Yuna NAMNA YA MUNGU?
Pili; SAWA na MUNGU?
alafu MUNGU akamuachia KUWA KILA GOTI LIPIGWE KWAKE KUMUABUDU,kwanini?
mbona mungu anamuachia Yesu ili kila viumbe mbinguni na duniani vimuabudu ilihali yeye mwenyewe ako?
__NOTE;mtu anayepinga UTATU na kusema UTATU si sawa Basi ni vizuri utueleze mbona Yesu alijilinganisha na mungu? au maandiko mengi yanamampa yesu nafasi ya mungu au k**a mungu upande mmoja na upande mwengine mwana?
Au utuambie tena UTATU ni nini??, UTATU TRINITY;

♧♧♧__MASWALI ZAIDI YA KUJIJIBU KUHUSU FUNDISHO LA UTATU,
__mafundisho ya utatu ni mungu BABA MWANA na ROHO,
unayajumuisha hizi titles pamoja siyo kuziweka moja moja,
ati mungu BABA,
mungu MWANA,
na mungu ROHO
__Utabatiza kwa jina la Baba,mwana na roho..
__Ubatizo wa yesu utatu,Utatu ulihusika,Roho aliyemshukia Yesu alikua ndiye mwana,Baba akazungumza kudhibitisha,baadaye Roho mtakatifu anamuongoza jangwani
__Yesu awachukua wanafunzi wake watatu iliashiria utatu,kukatokea watu wawili wakawa na Yesu nafsi tatu,kisha Baba anasema huyu ndiye mwanangu msikieni anachosema,
__katika kuumbwa dunia UTATU ulikuwa,roho alikuwa hapo,ndio mungu akanena kutumia Neno,(yesu)
__biblia inasema pale mwanzo kulikuwa na Neno(Yesu),nalo neno lilikuwako kwa mungu,nalo hilo neno lilikuwa mungu
__malaika walimuabudu Yesu alipovunja mihuri,naye baba alinyamaza,malaika wote wslimuabudu mwana,
__old testament exodus 23:21 mungu akasema malaika wangu atakwenda mbele yenu kuwaongoza ila mchunge kwa kutii sauti yake msije mkaasi maana hatawasamehe dhambi zenu(atawaangamiza) mbona mungu anampa malaika ushukani?je ni malaika wa kawaida??au ni mwana?
na huyo ndiye huyo huyo malaika ambaye maandiko inamtaja aliondoka mbele akaenda nyuma ya kambi ya wana wa israeli kati yao na Wamisri,
__mimba ya mariamu inasema Roho atakukujia,ni nafsi ya roho pekee ilimshukia
___Baba anasema kwa mwana....enzi yako,
__mimi na baba tu umoja,alimaanisha wako umoja vipi??
__Yesu iliuvua uungu wake akavaa ubinadamu,
__jina lipitalo majina yote,na kila goti na kila ulimi utamkiri Yesu kristo ni Bwana,je baba ako wapi hapo?
kumbuka mwanzo Bwana mungu
__YESU hakuwa akiomba wakati mwengine alipokuwa akimponya mtu au kutoa pepo,au kumfufua mtu,nk sisi lazima tumtaje ila yeye alisema tu,
__iwapo Yesu si mungu mbona atakuja kwa utukufu wake pamoja na malaka na atahukumu pia?
__Yesu pia alijilinganisha na mungu,vyote alivyo navyo baba ni vyangu,vitu vyote juu mbinguni nimepewa,?ambapo hiyo ni kufuru
__Mat 28:18 jesus said All power in heaven snd on earth is delivered unto me....if it is so,What has the Father remained with?
_alivunja sabato kwa kujiita ni bwana,kwanini?
__alisema anao uwezo wa kuutoa na kuutwaa
__yesu ni mungu pamoja nasi,
__yesu alisema Nitamtuma huyo Roho,nisipoenda hatakuja,
__isaiah 6 tumtume nani mimi hapa nitume,
__mwanadamu pia ni utatu,roho,nafsi na mwili,
__Soma maono ya ezekiel..kuhusu viumbe hai wanne,wanavyotenda kazi kwa umoja,
__iwapo Yesu ni mdogo mbona anashirikia uwezo au cheo cha mwenyezi?
__na iwapo roho ni mdogo mbona ana uwezo wa mungu pia,
maana Roho humshawishi mwenye dhambi atubu kwa Yesu sio kwa baba,na akisha tubu humsukuma ajue NENO,na hukuonyesha baba,
__Utatu Upo"Na tumuumbe mtu kwa mfano wetu" ninani hao waliozungumza wenye uwezo wa kuumba? mbona asiseme acha mimi....
__Utatu upo mungu aliposema;
"na tuende chini tukawatawanyishe",ninani hao?mbona asingesema acha mimi.....???
__ndoa iko na utatu pia,mume,mke na mtoto?,)
__isaya 6 soma habari ya maserafi Mtakatifu ×3 holy moja ni Yesu,holy nyingine ni baba nyingine ni roho
__penye kiti cha enzi cha Roho ya mungu?mwana,na Baba
__Utatu upo
John 5:7 For there are three that bear record in heaven,The Father,The Word, and the Holy Ghost: and these three are ONE
__ Rev 1:11 Yesu anasema , I am Alpha&Omega,the first and the last: mbona awe alfa na mungu mwenyewe ako?
___Yesu alikuwako,?
Exo 14:19 And the angel of God, before the camp of Israel, removed and went behind them;pillar of the cloud,
pia tunaona mungu anamwambia musa;mimi Yhwh sitaenda nanyi ila malaika wangu atakwenda mbele yenu,na mchunge msije mkaasi zidi yake,.....maana hatawasamehe dhambi zenu atawaangamiza?je alikuwa no malaika yupi huyo aliye pia na uwezo huo maana mungu alisema jina langu liko ndani yake?
__Yesu alitabiriwa Dan 7:13 I saw in the night visions, and, behold, [one] like the Son of man came with the clouds of heaven, and came to the Ancient of days(God), and they brought him near before him.
Who was this son of man?
__Yesu alimtuma malaika wake,je Yesu ako na mamlaka kivipi ya kumtumikia malaika na si mungu mwenyezi?
na mbona Yesu huyo anasema huyo malaika ni wake??
Rev 22:16 I Jesus have sent mine angel to testify unto you these things in the churches. I am the root and the offspring of David, [and] the bright and morning star.

END

11/07/2026

♧MATTERS CONSERNING THE FAMILY,TRIBE,SOCIATY OR SECULAR GOVERNMENT OR HUMANITY WHICH FORCES THE PASTOR TO PATICIPATE IN IT WITHOUT HIS CHURCH,
♧MAMBO AMBAYO NI YA KIFAMILIA, KIUKOO, KISOCIATY,KISERIKALI AU KIBINADAMU YANAYOLAZIMISHA MCHUNGAJI KUHUSIKA NDANI KANDO NA KANISA,

(1)__Kuna mambo ambayo mchungaji wa kanisa hawezi epuka katika society,kwa mfano k**a mikutano ya waliokufa mchungaji hulazimika aitwe ili aelekeze watu kwa neno la mungu,na faraja,nk
__kuna waumini hutaka kufungua nyumba iliyojengwa mahali kwa kuiombea na kuiweka wakfu,
au mkutano wa ndoa
au wazazi wanamtembelea mtoto wao ugenini,mahari,Tohara,mtu anainuliwa cheo,nk na itahitaji mchungaji aje hapo kuibariki hafla hiyo,nk
__au aende kumuombea mtu anayeenda kazini au anaenda nchi ya mbali,au anayetaka kuokoka,nk
__mchungaji anaeza kuitwa ilik kuhusika katika shida za watu wakati mtu mgonjwa anakufa uende kumsaidia apone au aside,nk au kuitwa ili kukemea pepo zinazonamtesa mtu,
kuitwa na serikali haswa walio viongozi wa nchi ili kuenda kisiri au waziwazi kuwaombea kwa mikutano yao,nk
__mchungaji hulazimika kuoa iwapo bado hajaoa,nk
(2)__pia waumini wa mchungaji hulazimika kuhusika katika mambo ya sociaty(ya inchi)na mchungaji hawezi wakataza kwa mfano
_waumini hulazimika kupiga kura,
_waumini hulazimika kuchukua vitambulisho vya nchi,
_waumini hulazimika kukata leseni za biashara,nk
au kujisajili kwa benki,nk
__mambo hayo haifai wewe mchungaji kuyapinga au kuwakataza,

__ingawa kuna mambo mengine ya maisha ya watu k**a mila, desturi,tamaduni na ukoo,nk ambayo mchungaji haufai kuingilia,wewe ni kuwahubiria tu neno,ili watubu na kutoka katika mambo yaliyo dhambi,na kuachia mungu awasaidie,

11/07/2026

♧NINE GIFTS OF THE HOLYSPIRIT IN THE CHURCH AND THEIR MANIFESTATIONS OF WORK,
♧KARAMA TISA KANISANI ZA ROHOMTAKATIFU NA UZIHIRISHO WA UTENDAJI KAZI WAKE,
Cor 12)
___hekima ni karama inayokuja juu ya mtu aliyeokoka haijalishi iwapo ulienda shule ya ulimwengu au haukusoma hiyo karama huja tu automatically, na karama ya maarifa pia hutoka kwa mungu moja kwa moja,na humuezesha muumini kujua maandiko kiusahihi,au kujua kusoma na kuunda vitu kwa njia ya ujuzi wa ufundi bila masomo ya shule za kidunia,
__karama hizi hutolewa na Rohomtakatifu mwenyewe,kitu ambacho roho hukusaidia katika karama hizi hukupa utaftaji wa historua na vitu vya kujifunza kwa kutazama,kukaa na wazee waliojua mambo fulani mbele yako,hukupa mawazo ya kutosahau ukweli unapojifunza,kufafanua mjadala kwa njia ya usahihi,
___mtu aliyeenda shule ya Biblia akiwa hana Roho au karama hizi tisa bado hata akiwa na degree huwa hawezi kujua ukweli au ujuzi wa mambo ya mbinguni,hujua tu kwa mifano iliyoandika kwa karatasi ila kwa experience ya moja kwa moja na ushirika na Yesu na kuzungumza naye au kutembelewa na Rohomtakatifu moja kwa moja hawezi,
___watu walio na roho huwa na ushirika mara mbili kujisomea neno,kujifunza kulitafakari na huwapata uhakika jinsi mungu anavyosema au inavyohitaji,na pia huwa na ushirika wa moja kwa moja na Yesu kupitia kwa huyo Rohomtakatifu, yaani roho zao hushirikiana na Rohomtakatifu moja kwa moja bila maandiko,
na watu wengi waliosomea shule pekee hujua neno lililoandikwa pekee lakini huwa hawana ushirika na kristo wa moja kwa moja maana hutegemea elimu ya makaratasi na ufafanuzi wa kibinadamu tu,
___kumekuwa na upingamizi wa Wakristo waliosoma theolojia zidi ya wawe wasio soma,nao waliosoma hudhani ati wakiwapa huduma wasiosoma hawataweza kuifanya kiusahihi,na ilhali kabla ya kuja kwa mashirika ya kidini ya kusoma, watu bado aliongozwa na Roho na wakawa waki- operate katika karama tisa na huduma tano bila masomo, mbona mungu aliwapa karama hizo na hawajasoma bado??
mbona mungu hunena na manabii ambao hawajasoma?
na kuwatumia kwa kazi yake watu na hawakusoma bible school?
au unapata mtu ni nabii au ako na karama ya kuponya naye ni maskini sana nyumbani mwake au hakujaliwa kuzaa watoto, nk
karama tisa ni uwezo wa Mungu unaotumika ndani ya muumini,
Roho Mtakatifu hukemea kanisa na kulithibitisha,huita watu wamtumikie kristo,hushawishi mioyo itubu,huongoza na kufariji,hukemea dhambi,husahihisha upotofu,hupenda utakatifu,nk
__karama zote kwa muumini huletwa na Rohomtakatifu siyo masomo ya theolojia, offisi tano eph 4 ni mwito siyo kazi ya kusomea kupitia theolojia,
__uwezo wa Mungu humjilia mtu kwa nguvu hata akawa anatenda miujiza au kunena maneno ya hekima kuliko wale waliosoma, au kuishi maisha ya kiungu kwa kiwango kizuri zaidi kuliko aliyesoma,nk hiyo ina maana anawezeshwa na Rohomtakatifu sio uwezo wa kibinadamu,kutoa unabii au kuponya watu au kuwaleta wenye dhambi kwa Yesu,au kufunga kula na kuomba au kukesha kila mara usiku ukiomba,au kuishi bila kutenda dhambi,nk hiyo haisaidiwi na masomo ya chuo vile watu hudhani ila ni uwezo wa kristo ndani yako,
__karama hufanya kazi kwa kuendelea ikiwa utakuwa ukijiwekwa kwa kristo katika maombi na utakatifu na ushirika naye,wakati utatoka inje ya utakatifu hiyo karama hutoweka au hugeuka na kuwa na viruses,(huingiwa na sumu)sasa mhubiri atakuwa akiendelea ila anakifanya kando na maandiko,

11/07/2026

♧TO RETIRE FROM THE DUTY OF GOD'S WORK IN THE CHURCH,
♧KUSTAHAFU KUTOKA USHIKANI WA KAZI YA MUNGU KANISANI,
__HAKUNA kitu k**a kustahafu na kuancha kazi ya mungu katika biblia ila ni mpangilio tu wa dini zetu,basi si kwa mungu,Paul alihudumu hadi umri ulipokuwa ukiendelea na tunasikia alikufa baadaye kule Rome,na alikuwa akiwaachia wengine kazi yake,na makanisa aliyoyaanzisha,Paul anamhimiza Timotheo na tito washike hudumu kwa bidii,na hizo ndio nafasi alikuwa akiwaachia na siyo kustaahafu,yohana aliyeandika kitabu cha ufunuo,alikuwa mzee na bado alikuwa akihudumu,
__ndio hatukatai kuwa kuna hali ya mtu mzee kuachia vijana kazi yake anapochoka kimaumbile na hilo ndilo tunajua,yaani mtu ukijipata umeanza kuchoka na ugonjwa au majukumu ya ndoa inamshika au kazi za kimapato na hana nafasi huwa anaachia wengine kazi hiyo ya huduma waendelee,na hiyo haimaanishi amestahafu,
__mtu mzee huzuiliwa na shughuli za kijamii na nguvu ya kimwili humpungukia ndio maana iwapo kazi aliyokuwa akitenda akiona hatakuwa na nguvu humuachia kijana aendelee,
ila akijipata kwa nafasi hiyo au akipata nafasi na hamna mtu wakuifanya yafaa tu afanye,
__zakaria kuhani alipokuwa akisongeza sadaka na uvumba mbele za Bwana hekaluni,alikuwa ni mzee kwa umri,simeoni yule mzee aliyemuekea Yesu mkono katika mlango wa kuingia alikuwa ni mzee sana ila mungu alikuwa bado anamtumia,Hana mjane ik 2:36 aliyekuwa hekaluni usiku na mchana akiomba hadi Yesu akazaliwa alikuwa ni mama wa umri,Phillipo anatajwa katika matendo ya mitume k**a mwinjilisti wa zamani na alikuwa sasa na familia na mabinti,Gamaliel,nk hakuna tukiyesikia alistaahafu ila tukasikia walikuwa wakiwa wazee,

11/07/2026

♧WOMEN TO BE BISHOPS OR PASTORS OVER THE CHURCH,
WANAWAKE KUWA MAASKOFU,AMA WACHUNGAJI WA KANISA,
__je unajua kwanini kanisa la kwanza walipenda kuwachagua viongozi wa kiume kwa idara za juu,
au ni kwanini mitume wanaandika mwanamke hafai kufundisha kanisani,kuwatawala wanaume?au kaxi ya askofu haswa awe mwanaume,au wanawake kwa ndoa wawe chini ya waume zao,au mwanamke akiwa na swala nyeti amuulize mume wake nyumbani,nk
TUTAELEZA KIDOGO KUTOKA KWA HISTORIA,....
(a) katika sheria ya Waisraeli mwanamke hakufaa kuwa wafalme au kuhani mkuu au makuhani wadogo,ila malkia pengine,
(b)Yesu pia alifuata desturi hiyo kwa kuwachagua wanaume pekee wawe mitume wakuu kulingana na jamii kumi na mbil za Israeli
(c)halafu pia maumbile ya k**e, na hali ya ndoa,na kuzaa watoto,na kulea watoto,nk haingemruhusu mwanamke kustahimili mateto ya maeneo,kupigwa mawe,kuchapwa viboko,kuwekwa jela na mateso memgine ambayo mitume hao wa kiume walikuwa wanatazamia kuyapata mbele huku wakihubiri injili,
(d) na tena nyazifa za mitume kumi na mbili wangewakilisha katika viti vya juu makabila 12 ya israel hadi mbinguni rev
__Katika kanisa la mitume waliegemea sana kufuata vichwa vya jamii ambapo kichwa cha jamii ni baba,mfano walipowahesabu watu walihesabu wNaume pekee,au waliwaandikisha Maria alipokaribia kuzaa waliandikisha nyumba yao pekee,
__ukoo pia uliitwa kwa mlango wa baba,(mume),mwanamke akoolewa huitwa uko wa huyo mwanamme,hata watoto atakaozaa,
__mfalme alichaguliwa kwa kipimo cha jinsia ya kiume,mwanamke kiongozi akiwako angekuwa chini yake k**a malkia,nk
__pia kwa vita wanaume ndio wangechaguliwa kulinda wanawake,wao ndio wangekuwa na mioyo ya vita na nguvu ya ukatili wa kuua wenzao wa kiume maadui vizuri zaidi kuliko vile ungewatuma wanawake wafanye zidi ya wanaume, mwanamke huwa na moyo wa huruma kwa kulinda watoto,haikufaa awekwe k**a mwanajeshi wa kuua,
__viongozi wa eneo au mitaa ya inchi walikuwa wazee wa kiume ndio walichaguliwa ili wakabiliane na majambazi na watu waovu kwa kutumia nguvu za ki vita,kuwak**ata,kuwa adhibu bila huruma,nk
__ wanaume ndio walichaguliwa kwa kazi ya uchungaji(kulinda)kondoo au ngombe mbugani,
__ndio maana ki asili mtoto kijana anaeza tumwa msituni kutafuta ngombe iliyopotea na airudishe ila msichana aezi tumwa, maana inaaminika anaeza patwa na wahuni wamshike kwa nguvu kumbaka,
au inaamini mtoto mvulana anaweza ingia nyumbani usiku au kutumwa usiku kwa jirani kuliko yule wa k**e maana atabakwa na wahuni,
__Na tunaona sasa pia pauli aliwachagua wazee(elders),na kwa wakati huu haimaanishi wanawake hawakuchaguliwa kwa kazi ya injili hapana,walichaguliwa ila walikuwa chini ya utawala wa wazee wa kiume,,nawalichaguliwa pia lakini sana sana,walikuwa chini ya maongozi ya wazee wa kiume,kazi zao zilikuwa uongozi wa wanawake au watoto au makaribisho ya wageni au kupika jikoni au kuwalisha wahubiri,kuomba,na ushirika,kutumika katika kazi za usafi,kufanya unabii,nk
__hakuna mahali mitume wa kiume yaani wazee maaskofu na wachungaji waligeuka na kuanza kuwa chini ya utawala wa wamama waliokuwa viongozi pamoja nao,
na hilo walifuata mfano wa utaratibu wa msingi wa hekalu la Yerusalemu,
__katika torati kuna maagizo mungu alikuwa akipeana kwa wale wanafaa wafanye kazi hii na wale wanaofaa kufanya ile,na tunaona maagizo halikuwapo kutoka enzi za musa,na yalilenga haswa wanaume,
ndio maana ilichukuliwa k**a desturi hadi wakati wa Yesu na kanisa la kwanza,
__ndio kuna wanawake mitume na manabii na walio teuliwa kukuwa watendaji kazi i.e finike,Mariamu mama wa yesu,Martha,Maria magdalene,priscila,nk ila hatuoni yule aliwekwa kuwa askofu (bishop)wa makanisa,,
__mwanamke kiasili huwa na changamoto kadhaa kwa mfano wengi walikuwa ni wake wa watu, na mke yafaa awe kwa majukumu yake ya ndoa,kula watoto,kubeba mimba, na kupikia mume wake,
Sasa ilichukuliwa inaeza leta utata kwa ndoa yake iwapo mda mwingi anatoka kwenda huduma na kutowashughulikia watoto wake nyumbani,au atashikika k**a atakuwa na majukumu mazito pande zote,
au iwapo amezaa au ako na mimba miezi tisa,nk
mda huo offisi yake au majukumu yake hubaki bila utendaji kazi,
Au mwanamke angekuwa na mimba,au ako kwa siku zake za damu basi angeona aibu kuja kuhudumu kanisani,au mume wake hataki awe akitoka toka,nk ingemzuilia maana ako chini ya mume wake,
na ndio maana kutokana na vipengele hivyo ilikuwa hivyo,
katika angano jipya ,biblia haijasema wanawake wasiongoze au wasitumike,hapana,
_katika angano jipya la neema na karama za Roho wanaweza kutumika jinsi tunavyoona katika barua za mitume wakiwa taja wanawake hao, ila kwa kazi zingine za askofu hatusikii wakitajwa,mfano kwenye cheo cha askofu au bishop ndio kina utata zaidi,maana kina majukumu mengi na ya utata,kushauri wachungaji,kuwawekea viongozi mikono,kuwekea watoto wakfu,au kuingia mtoni na kuwabatiza watu kwa maji mengi,au kuunganisha arusi, nk hatukusikia hayo k**a walihusika,
__kwa hivyo hatuwezi tu kusema majukumu yote au jazi zote za kiume wanawake wanaweza sasa kuzifanya kikamiligu sawa na wabaume,

11/07/2026

♧PERSECUTIONS,IMPRISONMENT,BEATINGS,REJECTION OR DEATH FOR THE GOSPEL PREACHING SAKE
AND CHRISTIANS FAITH,
♧MATESO,KUFUNGWA JELA,KUPIGWA,KUKATALIWA,AU KUUWAWA KWA AJILI YA KUHUBIRI INJILI NA IMANI YA KIKRISTO,
__injili ilikuwa na mapingamizi makubwa kutyoka kwa serikali, umaa,na kutoka kwa mila za makabila,waganga au wanaotawala kutumia nguvu za giza,nk na hiyo mapingamizi lilianzia kwayesu mwenyewe ,ikaja kwa mitume wake,na ikaja kwa Wakristo walikuja baadaye, nk
kwa mfano baadaye tunasoma utawala wa urumi, Niro,wengine walio mfuata nyuma,kuja hadi wakati wa ukoloni wa inchi ,ujerumani kuitawala Poland israel,nk Uingereza kuja Afrika,nk bado Wakristo walikuwa wakibaliana na upingamizi wa serikali, na mateso,
na mtu akiokoka na asimame maandiko haionyeshi kuwa wLirusi tena kukubaliana nahali za kidunia,hakuna maana mitume karibu wote waliuwa2a,Yesu aliuwawa,mabii waliuwWa,yohana na wengine wengi,nk
kwa hivyokuteta ndani ya injili kwa kuhubiri ukweli na kukemea uovu na kushurutisha watu watubu na kuokoka,nk
hiyo ndio kazi ya wahubiri na hawahitajiki kukubaliana na sheria za inchi ambazo zinampinfa mungu au zinamuunga mkono shetani au uabudu ea sanamu au zinaoondoa injili,au marufuku ya makanisa au kuzuia Wakristo kuhubiri au kuwalazimisha Wakristo wakubaliane na sheria za uovu nk
__tunajua neno linasema tutii utawala maana hakuna utawala ulioko usiotoka kwa mungu,nk lakini msitari huo ulipoandikwa tunaona bado hao mitume walipingamana na serikali na wakakubali kuuawa, kwanini?
sababu walitii maagizo yaliyo mazuri,ila mabaya yanayowaelekeza kwa dhambi walikataa,
__Biblia inaonyesha katika barua ya wahebrania hamjateta hadi kumwaga damu,ikimaanisha Mkristo yafaa apigane vita vya kiroho bila kukubaliana hata liasi cha damu yake kumwagwa,
ina maana unakubali kuteswa kwa ajili ya Yesu bila kulipisha,
ingawa si hivyo wakati huu,tunaona Wakristo wajisajili kwa serikali, na kufuata mfumo wa kidunia ,na kuchukua leseni za kufanya mikutano ya injili kwa ruhusa ya serikali au ili kumuomba mungu kwa kesha za usiku na kulipia ushuru ndio uruhisiwe,na kulazimika kufanya kazi ya mungu kulingana na utaratibu wa serikali za inchi au leseni za inchi na sio kulingana na maandiko,
__kabla ya ugonjwa wa korona kutokea,wahubiri wengi walikuwa wakijigamba ati tutasimama hata nini ije hatutaweza kumkana Yesu jinsi vile Petro alifanya, rutamsimamia Kristo,na hatutaacha kuhubiri injili wala kuomba,shetani apinge asipinge,nk alafu kukaja wakati wenyewe saa kudhibitisha ,wachungaji wengi walifunga makanisa na kuohopa na kuenda jujificha,na kufuata sheria ya serikali ya kubawa mikono na kuvaa mask mdomoni na kukaa umbali wa kujitenga kanisani,nk
sasa wapi imani yao waliyokuwa wakijigamba kuwa watafanya??
na iwapo ni hivyo itakuwaje mpinga kristo akitokea,?
_kuna siri kubwa kwa Wakristo wanaojitoa hadi kufa kwa ajili ya Yesu,hiyo ni msimamo wa juu sana,Mkristo wa kawaida asiye na(Roho) imani ya kiwango hicho aonapo majaribu na mateso na kukataliwa hurudi kukubaliana kwa hali ya awali,ila Yesu anawaambia mtakuwa na dhiki siku kumi,uwe mwaminifu hadi kufa,
_hakuna mahali Biblia inaruhusu kukubaliana na dhambi,hata ulazimishwe na Waislamu kuambiwa ukikubali kuslimu(ubadilishe imani)hautauwawa na ukikataa utauwawa,alafu useme acha nikubali tu kwa saa hii then baadaye nitatubu,hakuna kitu k**a hicho katika imani ya kuokoka,Yesu alisema achukuaye jembe kuanza kulima akageuka na kuangalia nyuma hafai",
mahala pengine inasema ushike sana ulicho nacho asije mtu akaja gafla akaitwa taji yao,na mahali pemgind inasema tushindan7e imani tuliyopewa mara moja tu,nk
sheria za wanawake,
sheria za watoto,
za mimba,
za Washougal,
hospitali, nk
swali unafaa kijiulizza je mitume walifuata hizo mifumo, vitu vingi hawakukubaliNa nayo ,ndio maana waliuwawa,
imani ya leo tunaona ina ambatana na sheria za KIDUNIA,hatujui ni KWANINI,

11/07/2026

♧CHRISTIAN SCHOOL,DEGREE,BIBLE TEACHINGS,AND LEARNING FROM OTHERS,
♧SHULE YA KIKRISTO,SHAHADA,MAFUNZO YA BIBLIA,NA KUJIFUNZA KUTOKA KWA WENGINE WAZIWAZI,
__Kuna kujifinza kutoka kwa mtu mwengine aliye juu yake iwapo umeokoka ma unaendelea kulelewa Chini yake,kuna ujuzi utakuwa ukishika kutoka kwake kibitendo na kimazungumzo,jinsi anavyoomba na kufunga na kuhubiri na kutoa na kuwaelekeza watu,nk mfano jinsi mitume walikuwa wakijifumza kutpka kwa Yesu,nao pia wakafunza wengine,na wengine wakafunza wengine,nk
na hiyo hutokana na Biblia wakati mtu ameokoka na kujiungfa na kanisani kuanza kuwa mshirika wa kila jumapili na mikutano yfa kil wiki na maombi,halafu ajipatie Biblia yake mwenyewe,mungu humsaidia kujua ukweli anapojisomea maandiko mwenyewe,na kuendelea kushirikiana ba wengine walio juu yake,hiyo haihusiano nBinle school, imani mtu hukua chini ya mchungaji pamoja na upendo wa wakristo wengine,Rohomtakatifu humsaidia kumpa moyo wa kujitoa na kushuhudi na kuomba jinsi inafaa,
__na kuna kujifunza kutoka kwa bible school ya mashirika ya dini,hiyo hufunza tu ki theolojiakwa karatasi na huwa hsina practicalobservationsor experienceson the ground,kwa hivyo wahubiri hao wanapotoka inje kuenda kuhudumu hufuata haswa theolojiawaliyofunzwa na huwa hawaegemei,kwa muongozo wa Roho jinsi vile wale waliokuwa chini ya wengine hufanya,na haoo ndipo huwa tunaona hitilafu au utofauti kati ya mtu aliyeokoka na aasnza kumfuatila roho na yule ayekua kwa ujuzi wa kiuelemu pekee,wahuduma waliopitia katika chuo cha Biblia huzarau wale wahuduma ambao bado hajapitia,na huzani wao ndio wazo sahihi,na watu wanaongozwa na roho na hawajapitia shuleni huona wale wa shule hawana mwongozo wa Roho,mambo hayo ni ya kawaida katika uwanja wa huduma,
__wahubiri waliohitimu hulazimisha wale wasihitimu kuingia shule,na ajabu unapata kuna wake hawajahitimu wanatumika vizuri zaidi kuliko waliohitimu,na kuba wahubiri waliohitimu wanaotegemea roho iwapo watajihitimisha na kupata shahada roho hujitenga nao hujipata hawana motisha au moto uliokuwa wa awali,
__hakuna mahali katika neno la mungu linalowalazimisga wahubiri waendecshule kwanza kabla ya kuanza kumtumikia Mungu,ni sheria tu ya inchi na ya madhehebu tuliyomo,lakini katika maandiko tunaona mungu aliwatumia watu wengi na manabii kwa kuwango kukubwa ilhali wengi wao hawakuwa wamesomea shule ya Biblia,
mitume haswa tunasoma hawakuwa na elimu ya kidunia lakini tunaona ujasiri wao watu waligundua Yesu yuko ndani yao,
hata katika miaka ya inchi zetu zikipata uhuru africa,na Waisraeli kutoka kwa wajerumani,nk roho mtakatifu amekuwa akiwatumia watu kufu gua makanisa katika maeneo mengi africa,
hatukatai kuwa kujifunza kwa mifumo ya mashirika si mbaya,maana ulimwengu umesonga kwa teknolojia
__lakini msingi wa neno la mungu ulikuwa ni Mungu kumuita mtu na kumtia nguvu,au maarifa ya kumtumikia huku akiwa chini ya kanisa au hekalu analoshiriki, na haifai mtu kulazimishwa su kuwekewa sheria lazima awe na shahada kwanza,maana iwapo mtu ako na Biblia yakujisomea mwenyewe,na anaisoma na kuielewa,na ako chini ya kanisa la nyumbani,na anaelekezwa na mchungaji au na karama zingine,nk kwani alazimishwe aende shule??
__Wanaosema Paulo alienda chuo cha Biblia ati alikuwa msomi sana,lakini Paulo mwenyewe anasema;
Gal 1:vs10...maana sasa je! Ni wanadamu ninaowashawishi, au Mungu? Au nataka kuwapendeza wanadamu? K**a ningekuwa hata sasa nawapendeza wanadamu, singekuwa mtumwa wa Kristo.(yaani ikiwa angekuwa anafuata procedures za kibinadamu)
vs 11 Kwa maana, ndugu zangu, injili hiyo niliyowahubiri, nawajulisha ya kuwa siyo ya NAMNA ya kibinadamu.
vs 12 Kwa kuwa SIKUIPOKEA kwa mwanadamu wala SI KUFUNDISHWA na mwanadamu, bali kwa ufunuo wa Yesu Kristo.
___ Ebu jiulize na akili zako Paulo anasema hakufunzwa na binadamu na wewe unasisitiza ati alienda chuo cha Biblia?
Stephano alikuwa tu ni shemasi na wakati alikuwa akihojiana ha wapinzani wake waliosomea torati aliwashinda kwa hoja na wakaona wamuue,hekima sliyokuwa nayo haikuwa ya bible school ila ya Roho, na hivyo ndivyo maandiko inasema,

___EBU jaribu kutafakari maelezo haya;
WE HAVE BIBLE SCHOOLING INSTITUTE KNOWLEDGE ALONE MINUS DIVINE KNOWLEDGE OF THE HOLYSPIRIT,
KUNA UJUZI WA SHIRIKA LA SHULE YA BIBLIA PEKEE BILA UJUZI WA ROHOMTAKATIFU
___(1)Joh 16:13 Howbeit when he, the Spirit of truth, is come, he ll guide you into all truth: for he shall not speak of himself; but whatsoever he shall hear,that shall he speak: and he will show you things to come.
WHAT DOES IT MEANS TO SHOW YOU THINGS TO COME?
WHERE IN THE SPIRIT OR IN THE WRITTEN WORD?
IS IT FROM THE BIBLE
OR DIRECT THROUGH VISIONS OF THE SPIRIT??

___(2)Mar 13:11 But when they shall lead [you], and deliver you up, take no thought beforehand what ye shall speak, neither do ye premeditate: but whatsoever shall be given you in that hour, that u ll speak : for it is not ye that speak, but the Holy Ghost.
PRE MADITATE MEANS MAKING A NOTES EARLIER WHITE OR A DOCUMENT OF PREPARATION OR LAWYER TO DEFEND YOURSELF IN COURT?
OR BIBLE SCHOOL DOCUMENTARIES TO PROVE YOURSELF?

___Luk 12:12 For the Holy Ghost shall teach you in the same hour what ye ought to say.
Luk 21:15 For I will give you a mouth and wisdom, which all your adversaries shall not be able to gainsay nor resist.
DOES THIS MEAN YOU WILL GET THIS WISDOM OR KNOWLEDGE FROM THE SCHOOLING INSTITUTE OR DIRECT FROM THE SPIRIT?,

____ 1Jo 2:27 But the anointing which ye have received of him abideth in you, and ye need not that any man TEACH BPyou: but as the same anointing teacheth you of all things, and is truth, and is no lie, and even as it hath taught you, ye shall abide in him.
WE SEE JESUS OR HOLYSPIRIT LEADING PEOPLE OR GUIDING THEM WHERE EDUCATION HASN'T YET GUIDED THEM
FOR EXAMPLE IN NEW TESTAMENT,
OTHER EXAMPLES......
_jesus spoke to Paul in prison,
_jesus shows Paul avision of marcedonia,
he didn't permitted them to...
I saw jesus at the roof...
_Separate for me barnabas and saul,
_The church was edified and fear of...
_Dorcus was raised back to life we see when _Paul got saved immediately he started testifying not backsliding,
we see the holyspirit fell upon Cornelius,
we see the power of God ,etc
even the prophets most of them were not gone to bibleschools,,it was the holyspirit which use to give them understanding and knowledge,&how to write what God was telling them,how to frame them,etc
CONFUSION IN UNDERSTANDING
__SOME churches give FREE BIBLES for theirs Members to read for them selves BUT THEY TELL THEM YOU WILL NOT UNDERSTAND GOD UNLESS YOU GO TO BIBLE SCHOOL FOR HUMAN LECTURERS TO HELP TEACH YOU HOW TO INTERPRET IT,,

BUT we see Today people go to bible school to get a job of pastor,Not called by God and after graduating you hear them say it is God who is appointing them,
Yah the law or force of compelling preachers to go to bible school so that they may obtain approval to be servants of God but the secular government has opened a door for any person even who is not a Christian or not born again to get that opportunity to be a pastor by a paper,
___But during 1920,1930,1940,1950,1960,1970,1980,1990, Christians of those times use to consider aperson to a servant of God by the holyspirit power gifts which was operating in him,the authority of God rested on him to perform divine activities like healing,prophesying,evangelising,praying much,having love toward the weak,casting out demons,living holy,etc they could see it,select him,and acknowledge him to have be used by God,even if he is not educated people in the village could go to him where he lives so that he prays for them deliverance but today they ve diverted it now,only recommending the educated,approving at adegree not by divinity which is in the person but by world education status or religious institutional learning degrees, or by money ability,
__Now for example we see what is nyangori PAG western kenya,they use voting methods to choose top general like how secular government does when choosing the president,
and we can see aperson can bribe his colleagues to vote for him and use force to get a position or court order,etc it is more fun,
And they say it is Gods service,they say it is God choosing him,etc
Do people know what has happened to the previous GS ??,
for example THOSE WHO SAY PAUL WAS LEARNED FROM BIBLE SCHOOL INSTITUTES LIKE OF OURS TODAY AND HAD DEGREES,
YOU CAN HELP ME TO UNDER WHAT HE SAYS HERE,
READ Gal 1:
10 For do i now persuade men,or God?
or do i seek to please men?
for if i yet pleased men,I should not be the servant of Christ.
11 But i affirm to you,brethren,that the GOSPEL which was preached of me(to you) is not after man.
12 For i neither received it of MAN,neither was i taught it,but by the revelation of Jesus Christ.
(Verse 11 he say it is not after man intelligence, verse 12 he means,neither did he received it from a person,nor was i schooled it,but by the revelations(revealing of jesus to him directly)
______CAN YOU DIFFERENCIATE THESE CONFUSION FROM WHAT TODAY'S PEOPLE BELIEVE HE HAD A DEGREE GRADUTED FROM BIBLE COLLEGE BEFORE HE STARTED PREACHING??
______[ANOTHER CONFUSION]
WE HAVE DIFFERENT BIBLE SCHOOLS
_SDA has their own bible doctrine teachings
_Catholic has their own doctrine bible school,
_Baptist has their own bible school
_FRIENDS church has their own bible school
_Orthodox church has their own bible school,
_Salvation army church has their own doctrine bible school,
_Jehovah's witnesses has their doctrine own bible school,etc
__Later day's saints church(mammon) has their own bible schools,

And all these bible colleges are recognised by the government to be Right
What about to God? which bible college teaches the Truth when we see all these churches have different doctrines and believes which is differing from each other accordingto their denomination?????,
___kwa mtu anayejivunia masomo unaweza kutujibu hili; inasemaje?
1 cor 2:10
10 Lakini Mungu ametufunulia sisi kwa Roho. Maana Roho huchunguza yote, hata mafumbo ya Mungu.
11 Maana ni nani katika binadamu ayajuaye mambo ya binadamu ila roho ya binadamu iliyo ndani yake? Vivyo hivyo na mambo ya Mungu hakuna ayafahamuye ila Roho wa Mungu.
12 Lakini sisi hatukuipokea roho ya dunia,(yakimasomo) bali Roho atokaye kwa Mungu, makusudi tupate kuyajua tuliyokirimiwa na Mungu.
13 Nayo twayanena, si kwa maneno yanayofundishwa(shule)kwa hekima ya kibinadamu, bali yanayofundishwa na Roho, tukiyafasiri mambo ya rohoni kwa maneno ya rohoni.(ufahamu unsotoka kwa Roho akimuezesha mtu)
14 Basi mwanadamu wa tabia ya asili(aliye na akili ya kuzaliwa) hayapokei mambo ya Roho wa Mungu; maana kwake huyo ni upuzi, wala hawezi kuyafahamu, kwa kuwa yatambulikana kwa jinsi ya rohoni.(yanatambulikana kwa kufunuliwa rohoni siyo kwa shahada au elimu ya dunia)
15 Lakini mtu wa rohoni huyatambua yote, wala yeye hatambuliwi na mtu.
16 Maana, Ni nani aliyeifahamu nia ya Bwana, amwelimishe? Lakini sisi tunayo nia ya Kristo.,
__Yesu alipokuwa akifundisha walishangaa sana huyu amepata wapi hii elimu ambayo hakusoma,na Yesu mwenyewe alikuwa kila mara akiwaambia maneno ninayowaambua si yangu ila ni ya Baba yangu aliyenipeleka,Yesu hakusoma theologia,stephano aliwashinda waliomsh*taki mbele ya barazani walipoona hivyo walimtumia na kumpiga mawe,maana neno la Roho liliwachoma mioyo,na maandiko inasema hawangeweza kushindana na hekima ya Rohomtakatifu aliyesema ndani ya stephano,ina maana stephano hakuwa amesomea theolojia bado,ila ni Yesu aliyenena,

Address

Mombasa
Giriama

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Practical apostolic work,call,mission,services and fellowships posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share