Vox Radio

Vox Radio Vox Radio is a community-centered media run by Amani Center CBO in Tana River County. Listen Live - http://voxradio.live/

Mkutano wa siku moja umeleta pamoja washirika wa muungano wa WISER Kenya, Ofisi ya Met ya Uingereza, taasisi za kitaifa,...
13/10/2026

Mkutano wa siku moja umeleta pamoja washirika wa muungano wa WISER Kenya, Ofisi ya Met ya Uingereza, taasisi za kitaifa, serikali za kaunti, na wawakilishi wa jamii ili kuzindua utekelezaji wa Awamu ya 3 ya WISER Kenya.

Mradi huu umefadhiliwa na Ofisi ya Mambo ya Nje, Jumuiya ya Madola na Maendeleo (FCDO) ya Uingereza na unasimamiwa na Ofisi ya Met ya Uingereza.
Lengo lake kuu ni kuimarisha ustahimilivu wa jamii hasa makundi yaliyo katika hatari zaidi dhidi ya athari za hali mbaya ya hewa katika kaunti za Garissa na Tana River.

13/10/2026

Leo kwenye take over show tukona mgombea kiti cha ubunge Bura constituency Mohamed Ali una swali lolote kwake???

Vijana na Uongozi..Je nini kinawasukuma vijana katika masuala ya uongozi?Tegea mazungumzo haya kuanzia 11am na Last Quee...
13/10/2026

Vijana na Uongozi..
Je nini kinawasukuma vijana katika masuala ya uongozi?
Tegea mazungumzo haya kuanzia 11am na Last Queen.

13/10/2026

Tukiangazia mivutano kati ya Rais William Ruto na aliyekuwa rais Uhuru Kenyatta..
Je kiongozi anapobadilisha msimamo na kuanza kumpinga aliyekuwa mshirika wake, je, huo ni usaliti au ni haki yake ya kisiasa?

Kulingana na utabiri wa hali ya anga,mvua za vuli zinatarajiwa kuanza wiki ijayo,Je tahadhari zipi zinafaa kuchukuliwa?
13/10/2026

Kulingana na utabiri wa hali ya anga,mvua za vuli zinatarajiwa kuanza wiki ijayo,Je tahadhari zipi zinafaa kuchukuliwa?

13/10/2026

Leo ni local Tuesday, team ya wawili yani two sisters Maureen Eunia na Flozy Flozy Andi-c tuko ndani ya Amka na Vox Radio je wewe?

Je ni tahadhari zipi za kiafya na kilimo jamii inapaswa kuzingatia wakati wa mvua za vuli?Usikose mazungumzo haya,kesho ...
12/10/2026

Je ni tahadhari zipi za kiafya na kilimo jamii inapaswa kuzingatia wakati wa mvua za vuli?
Usikose mazungumzo haya,kesho jumanne 8am-9am.



Concern Worldwide
Tana River County Government Press Service

12/10/2026

MIDA NI YA RHUMBA NA BABA LA RHUMBA SALAMU IMFIKIE NANI
CALL 0742411676
SMS 0742411675

12/10/2026

Monday ni siku ya kuanza upya vijana leo mnapiga hustle mkiwa wapi?
The Last Queen ndani ya The Take Over show
10am-2pm.

Address

Garsen Law Court Road, Minjila
Garsen

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Vox Radio posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Vox Radio:

Shortcuts

Share