21/02/2026
kitu ningependa kumwambia our young ladies,wenye wako kazi na wanatafuta kazi,wenye wako kwa ndoa wanatafuta kazi,if you must do so,be careful to these men in towns ambao they lured u ati Iko kazi wee njoo,anakutumia na bado hautapata kazi labda "Ukosefu wa Kinga mwilini" Ukimwi ndio utapata.And to these hebu fikiria k**a angekuwa dadako ungefanya hivyo?.. it pains me a lot kuona wakidangaywa hivyo..Let's pray for our sisters and daughters..Ikiwa Kuna kazi ndio make sure u him well ,heri akuwe bro wako or even your fellow lady...
I rest my case.
Thank you.