Beno Mkatoliki

Beno Mkatoliki Ukurasa Rasmi wa Padre Bernardo Msuya (Beno Mkatoliki),SSC
Hapa ni Burudani na Mafundisho I love Catholic Music
(1)

Wapendwa, kila pumzi mnayovuta ni ushuhuda wa neema ya Mungu. Kwa yote mliyopitia, kwa yote mliyopokea na hata kwa yale ...
02/09/2026

Wapendwa, kila pumzi mnayovuta ni ushuhuda wa neema ya Mungu. Kwa yote mliyopitia, kwa yote mliyopokea na hata kwa yale mnayoyasubiri, msichoke kusema: “Asante Mungu!” Kwa sababu hata k**a huoni kila jambo likienda sawa, Mungu bado yupo pamoja nanyi, anawalinda, anawainua na kuwaandalia mema. Moyo wa shukrani huvuta tumaini, amani na nguvu ya kuendelea. Mungu awabariki na awasimamie katika kila hatua ya maisha yenu.

https://youtu.be/oAYoKKPvWEk?si=SK1lo9Kb5mbDOyUe🔥 🔥 New song alert 🔥 🔥 🎵WAIMBAJI: Kwaya ya Mtumishi wa Mungu Mwl. JK.Nue...
01/09/2026

https://youtu.be/oAYoKKPvWEk?si=SK1lo9Kb5mbDOyUe
🔥 🔥 New song alert 🔥 🔥
🎵WAIMBAJI: Kwaya ya Mtumishi wa Mungu Mwl. JK.Nuerere Geita
🎵WIMBO: ASANTE MUNGU (Tunashukuru)
🎵MTUNZI: Athanas Chagu
🎵DIRECTED BY: A. William & M. Lufungulo
🎵ORGANIST: Fabiano Joseph
🎵SOUND ENGINEER: Fabiano Joseph
🎵AUDIO & VIDEO: AM - PRO STUDIO

Like, Comment, Share anda Subscribe

WIMBO: ASANTE MUNGU TUNASHUKURUMTUNZI: Athanas ChaguWAIMBAJI: Kwa...

01/09/2026

ASANTE MUNGU TUNAKUSHUKURU
Kwaya ya Mtumishi wa Mungu J.K. Nyerere, GEITA

“Usiogope msalaba unaoupitia leo; ukimkabidhi Mungu maisha yako na kuendelea kumfuata kwa imani, hata maumivu yako yatag...
30/08/2026

“Usiogope msalaba unaoupitia leo; ukimkabidhi Mungu maisha yako na kuendelea kumfuata kwa imani, hata maumivu yako yatageuka kuwa njia ya neema, tumaini na uzima.”

PICHA: TIMU ZA VIJANA (VIWAWA) KUTOKA PAROKIA MBALIMBALI ZA DEKANIA YA MT FRANSISKO WA ASIZI, PUGU ZILIZOSHIRIKI BONANZA...
29/08/2026

PICHA: TIMU ZA VIJANA (VIWAWA) KUTOKA PAROKIA MBALIMBALI ZA DEKANIA YA MT FRANSISKO WA ASIZI, PUGU ZILIZOSHIRIKI BONANZA LA VIWAWA DEKANIA 2026

ZAWADI KWA WASHINDI: BONANZA LA VIWAWA DEKANIA YA MT. FRANSISKO WA ASIZI, PUGU
29/08/2026

ZAWADI KWA WASHINDI: BONANZA LA VIWAWA DEKANIA YA MT. FRANSISKO WA ASIZI, PUGU

ADHIMISHO LA MISA TAKATIFU, UFUNGUZI WA BONANZA LA VIWAWA DEKANIA YA MT FRANSISKO WA ASIZI PUGU
29/08/2026

ADHIMISHO LA MISA TAKATIFU, UFUNGUZI WA BONANZA LA VIWAWA DEKANIA YA MT FRANSISKO WA ASIZI PUGU

29/08/2026

BONANZA VIWAWA DEKANIA YA MT. FRANSISKO WA ASIZI PUGU

29/08/2026

ADHIMISHO LA MISA TAKATIFU YA DEKANIA YA PUGU, MT FRANCISCO WA ASIZI PUGU, JIMBO KUU LA DAR ES SALAAM.

LEO JUMAMOSI, 29/08/2026.

MISA HII INAADHIMISHWA NA PADRE BERNADO MSUYA, BABA MLEZI WA VIWAWA DEKANIA YA PUGU, MT FRANCISCO WA ASIZI.

https://youtu.be/-xIR0OpeNfw?si=OPBn05lppIWD3xE3NEW SONG ALERT📌📌🔥🔥🔴SONG: ENYI WAKRISTO WAPENZI🔵ARTIST: ANASTACIA MUEMA🟤M...
25/08/2026

https://youtu.be/-xIR0OpeNfw?si=OPBn05lppIWD3xE3
NEW SONG ALERT📌📌🔥🔥
🔴SONG: ENYI WAKRISTO WAPENZI
🔵ARTIST: ANASTACIA MUEMA
🟤MTUNZI: JACOB M URASSA
⚪️THEME: WIMBO WA EKARISTI/KOMUNIO

🟢Please WATCH, SUBSCRIBE, LIKE and SHARE WIDELY.

Mungu atubariki sote.

Karibuni kutazama wimbo huu wa ekaristi/komunio. It is a beautiful ...

Indirizzo

Turin

Notifiche

Lasciando la tua email puoi essere il primo a sapere quando Beno Mkatoliki pubblica notizie e promozioni. Il tuo indirizzo email non verrà utilizzato per nessun altro scopo e potrai annullare l'iscrizione in qualsiasi momento.

Contatta L'organizzazione

Invia un messaggio a Beno Mkatoliki:

Scelte rapide

Condividi