Tanzania Scholars In India-TANSIN

Tanzania Scholars In India-TANSIN Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Tanzania Scholars In India-TANSIN, Nonprofit Organization, EP-15C, Chanakyapuri,, New Delhi.

24/08/2026

CAN YOU FEEL IT🤩💥

TANSIN SUMMIT 2026

Twende Parul University 10/09/2026 (Usikose)
kumenoga👏✨️

TUNAOMBA RADHI KWA CHANGAMOTO ILIYOJITOKEZA🙏
23/08/2026

TUNAOMBA RADHI KWA CHANGAMOTO ILIYOJITOKEZA🙏

📢 TAARIFAWanafunzi wote wa Kitanzania wanaosoma nchini India mnaalikwa kwenye kikao maalum online pamoja na kampuni ya K...
22/08/2026

📢 TAARIFA

Wanafunzi wote wa Kitanzania wanaosoma nchini India mnaalikwa kwenye kikao maalum online pamoja na kampuni ya Kitanzania ya Fintech (NALA)inayojihusisha na money transfer kimataifa.

🗓️ Jumapili
🕘 21:00 IST | 19:30 EAT
💻 Google Meet

🔗 Kujiunga: https://meet.google.com/mtt-kiib-tmo
Meeting Code: “mtt-kiib-tmo”

Karibuni wote.

Tomorrow ⏳ 9:00 PM
22/08/2026

Tomorrow
⏳ 9:00 PM

Picha ya pamoja iliyopigwa mara baada ya kumalizika kwa kikao kati ya Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi wa Tanzania n...
09/03/2026

Picha ya pamoja iliyopigwa mara baada ya kumalizika kwa kikao kati ya Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi wa Tanzania nchini India, pamoja na viongozi wa wanafunzi wa Kitanzania nchini India (TANSIN).

Picha hii inaonyesha viongozi na wawakilishi wa wanafunzi wakiwa pamoja k**a ishara ya ushirikiano, umoja, na mawasiliano ya karibu kati ya serikali kupitia ubalozi wake nchini India na wanafunzi wa Kitanzania wanaosoma nchini humo.

Ni kumbukumbu ya tukio muhimu lililowakutanisha viongozi wa serikali na jumuiya ya wanafunzi, likiwa na lengo la kuimarisha mahusiano na ustawi wa Watanzania waliopo katika masomo yao nchini India.

📍 Delhi, India
📅 08 Machi 2026

BREAKING NEWSKIKAO MAALUM KATI YA NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE, BALOZI WA TANZANIA NCHINI INDIA NA UONGOZI WA WANAFUNZI ...
09/03/2026

BREAKING NEWS

KIKAO MAALUM KATI YA NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE, BALOZI WA TANZANIA NCHINI INDIA NA UONGOZI WA WANAFUNZI WA KITANZANIA NCHINI INDIA (TANSIN)

Tarehe 08 Machi 2026 kikao muhimu kilifanyika kati ya Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi wa Tanzania nchini India pamoja na uongozi wa TANSIN kujadili changamoto mbalimbali zinazowakabili wanafunzi wa Kitanzania wanaosoma nchini India.

Katika kikao hicho, viongozi wa wanafunzi waliwasilisha masuala muhimu yanayohusu ustawi wa wanafunzi, masuala ya kitaaluma, pamoja na changamoto za kijamii wanazokutana nazo wakati wa masomo yao.

Serikali kupitia ubalozi wake nchini India iliahidi kuendelea kushirikiana na wanafunzi ili kuhakikisha mazingira bora ya masomo na ustawi wa Watanzania wote waliopo nchini humo.

📍Delhi, India
📅 08/03/2026

25/12/2025
Uongozi wa TANSIN unatoa pongezi na shukrani za dhati kwa uongozi wa TANFMU (Marwadi University) kwa mapokezi mazuri na ...
08/12/2025

Uongozi wa TANSIN unatoa pongezi na shukrani za dhati kwa uongozi wa TANFMU (Marwadi University) kwa mapokezi mazuri na kuonesha ukomavu kwenye uongozi na kudumisha umoja, ushirikiano na mshik**ano katika shughuli ya kipekee iliyofanyika Tarehe 08/12/2025 ya kuombea nchi yetu Tanzania. Tumefurahishwa na moyo wenu wa kushirikiana umeonyesha mfano bora wa uongozi wenye hekima na kuheshimiana. Tunathamini kwa dhati namna mlivyodhihirisha umoja huo na kufanya tukio hili kuwa la thamani na la kukumbukwa. Mungu awabariki, Mungu ibariki Tanzania.

Address

EP-15C, Chanakyapuri,
New Delhi
110021

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tanzania Scholars In India-TANSIN posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share