Dorismollelfoundation

Dorismollelfoundation Kontaktinformationen, Karte und Wegbeschreibungen, Kontaktformulare, Öffnungszeiten, Dienstleistungen, Bewertungen, Fotos, Videos und Ankündigungen von Dorismollelfoundation, Gemeinschaftliche Organisation, Freising.

Sisters from Another Mother with love of Maternal and New Born. Cc
28/05/2026

Sisters from Another Mother with love of Maternal and New Born.

Cc

A Sister and a Mentor who believed in My Dream from Day one. Mheshimiwa Balozi  sisi tunajifunza kupitia wewe, Mwenyezi ...
24/05/2026

A Sister and a Mentor who believed in My Dream from Day one.

Mheshimiwa Balozi sisi tunajifunza kupitia wewe, Mwenyezi Mungu azidi kukulinda katika majukumu yako ya kila siku. Amen.

Mwenyezi Mungu azidi kuwabariki wauguzi wote wanaofanya kazi kwenye vitengo vigumu. Ahsanteni kwa kazi ya Baraka.
24/05/2026

Mwenyezi Mungu azidi kuwabariki wauguzi wote wanaofanya kazi kwenye vitengo vigumu.

Ahsanteni kwa kazi ya Baraka.

Sisters from East Africa  at the Africa Forward Summit special for Civil Societies♥️
13/05/2026

Sisters from East Africa at the Africa Forward Summit special for Civil Societies♥️

Leo kamati ya uongozi ya  tumewapokea na kufanya mazungumzo na viongozi na walezi wa mandao wetu, Mh. Ellen Johnson Sirl...
20/04/2026

Leo kamati ya uongozi ya tumewapokea na kufanya mazungumzo na viongozi na walezi wa mandao wetu, Mh. Ellen Johnson Sirleaf, Rais Mstaafu wa Liberia na Mh.Sahle-Work Zewde, Rais Mstaafu wa Ethiopia.

The judges of  ❤️🇹🇿
19/04/2026

The judges of ❤️🇹🇿

Thank you so much Prof Christof and Harald from Charite University Hospital one of the Best and Big Hospital in Germany ...
19/04/2026

Thank you so much Prof Christof and Harald from Charite University Hospital one of the Best and Big Hospital in Germany for Hositing Team, i personaly enjoyed learning so much from you.

Nilipata wasaa mzuri wa kujifunza mengi sana hususan namna watoto wanaozaliwa kabla ya wakati wanavyopatiwa huduma kuanzia teknolojia, ubunifu na mengine mengi katika hospitali zaidi ya 3 nchini Ujerumani.

Nawashukuru sana Charite University Hospital kwa kutualika na kua mwenyeji wetu.

It was a pleasure catching up with one of good and kind hearts i know .mader.gfcni she has been instrumental and a story...
19/04/2026

It was a pleasure catching up with one of good and kind hearts i know .mader.gfcni she has been instrumental and a story to many parent organizations in the world. Thank you for all you do❤️🫶🏽

05/04/2026

Mwenyezi Mungu aendelee kuwabariki wakina Baba wote wanaowahudumia wakina Mama ambao leo hii wapo wodini wakiendelea kuhudumia watoto wao waliozaliwa kabla ya wakati.

story from 🇹🇿

Pasaka Njema

Kabla Mwezii huu mzuri kwetu wanawake haujaisha, napenda kuwashukuru sana watu wote mliochukua muda wenu kutuandikia msg...
31/03/2026

Kabla Mwezii huu mzuri kwetu wanawake haujaisha, napenda kuwashukuru sana watu wote mliochukua muda wenu kutuandikia msg, kulike na kututakia baraka nyingi pamoja na salamu mbali mbali za kutupongeza kwa kupata heshima ya kutambuliwa na Shirika la Afya Duniani - WHO.

Tunaendelea kumshukuru Mungu kwa zawadi nyingine ya Tuzo ya Heshima ya uhamasishaji ambayo itakumbukwa milele kutoka kwa Shirika la kimataifa la watoto wachanga linalo ongozwa na .mader.gfcni kwa kazi kubwa ya kuhamasisha kutambulika kwa siku ya watoto njiti kimataifa na kuadhimishwa kila mwaka na Duniani kote.

Naishukuru na kwa kushirikiana nasi kufanikisha ndoto ya

Adresse

Freising

Benachrichtigungen

Lassen Sie sich von uns eine E-Mail senden und seien Sie der erste der Neuigkeiten und Aktionen von Dorismollelfoundation erfährt. Ihre E-Mail-Adresse wird nicht für andere Zwecke verwendet und Sie können sich jederzeit abmelden.

Teilen