Neno la Mungu wa milele yote

Neno la Mungu wa milele yote La méditation de la parole de Dieu est l'objectif de la création de cette page.

01/08/2025
14/11/2024

Quel est le verset biblique que tu maîtrises mieux 📖

Beaucoup vont sauter parce qu'il ne s'agit pas d'amour 😴😴😴

05/10/2024

Qui veut vivre heureux doit s'accrocher à Jésus-Christ. Il est l'unique solution à tes maux.

05/10/2024

Ne prions pas au nom de Jésus.
Faisons le plutôt en déclarant le nom complet de "JÉSUS-CHRIST".
Des faux Jésus sont nombreux.

22/04/2024

Avez-vous une question à propos de la parole de Dieu ? Posez-la et vous aurez une réponse.

08/03/2024

1wakorinto 13:4-5

Upendo huvumilia, hufadhili; upendo hauhusudu; upendo hautakabari; haujivuni;
5
haukosi kuwa na adabu; hautafuti mambo yake; hauoni uchungu; hauhesabu mabaya;

05/03/2024

Na kila amtafutaye Bwana aache uovu.

05/03/2024

Tulishike neno la Mungu wakati bado ingali mapema.

05/03/2024

Mshukuruni Bwana kwa ku tuamsha.
Semeni neno moja kwa hali ya shukrani

04/03/2024

WAROMA 3:23

kwa sababu wote wamefanya dhambi, na kupungukiwa na utukufu wa Mungu;

04/03/2024

1

Neno la Bwana likamjia Yona mara ya pili, kusema,

2

Ondoka, uende Ninawi, mji ule mkubwa; ukaihubiri habari nitakayokuamuru.

3

Basi Yona akaondoka, akaenda Ninawi, k**a Bwana alivyonena. Basi Ninawi ulikuwa mji mkubwa mno, ukubwa wake mwendo wa siku tatu.

4

Yona akaanza kuuingia mji mwendo wa siku moja, akapaza sauti yake, akasema, Baada ya siku arobaini Ninawi utaangamizwa.

5

Basi watu wa Ninawi wakamsadiki Mungu; wakatangaza kufunga, wakajivika nguo za magunia, tangu yeye aliye mkubwa hata aliye mdogo.

6

Habari ikamfikia mfalme wa Ninawi, naye akaondoka katika kiti chake cha enzi, akavua vazi lake, akajivika nguo za magunia, na kuketi katika majivu.

7

Naye akapiga mbiu, akatangaza habari katika mji wa Ninawi, kwa amri ya mfalme na wakuu wake; kusema, Mwanadamu asionje kitu, wala mnyama wala makundi ya ng'ombe, wala makundi ya kondoo; wasile, wala wasinywe maji;

8

bali na wafunikwe nguo za magunia, mwanadamu na mnyama pia, nao wakamlilie Mungu kwa nguvu, naam, na wageuke, kila mtu akaache njia yake mbaya, na udhalimu ulio mikononi mwake.

9

Ni nani ajuaye kwamba Mungu hatageuka na kughairi, na kuiacha hasira yake kali, ili msiangamizwe?

10

Mungu akaona matendo yao, ya kuwa wameiacha njia yao mbaya. Basi Mungu akalighairi neno lile baya, ambalo alisema atawatenda; asilitende.

Adresse

Ndosho
Goma

Site Web

Notifications

Soyez le premier à savoir et laissez-nous vous envoyer un courriel lorsque Neno la Mungu wa milele yote publie des nouvelles et des promotions. Votre adresse e-mail ne sera pas utilisée à d'autres fins, et vous pouvez vous désabonner à tout moment.

Partager