28/05/2025
Muda namna gani uta tembeya nao? Ni muhimu kujuwa muda nini! Ili ujuwe uta tembeya jeh nao! Kwa u elewa zaidi tuta ufafanuwa kwa mtazamo wa psychologiya na mwana psychologia Gentil. Kwa kutaka u elewe zaidi ji unge nasi kwenye [email protected] ama kwenye whatssapp kupitiya +243 990 963 569.