Swahili Speaking Catholic Community, Vienna Austria

Swahili Speaking Catholic Community, Vienna Austria Sisi ni Wakatoliki wanaozungumza Kiswahili na tunashiriki Misa kila Jumapili saa tisa alasiri (15:00) hapa Brigittaplatz 1, Vienna, Austria.

We are Swahili-speaking Catholics & we celebrate mass every Sunday at 15:00 at Brigittaplatz 1, Vienna, Austria.

Picha mbalimbali za Ujio wa Askofu Michael Msonganzila katika Jumuiya yetu.
05/05/2026

Picha mbalimbali za Ujio wa Askofu Michael Msonganzila katika Jumuiya yetu.

Jiunge nasi kwa Misa Takatifu na Askofu ya kuwasimika viongozi wapya wa Jumuiya, kisha chakula katika ukumbi wa kanisa.S...
15/04/2026

Jiunge nasi kwa Misa Takatifu na Askofu ya kuwasimika viongozi wapya wa Jumuiya, kisha chakula katika ukumbi wa kanisa.

Siku: Jumapili, 3 Mei 2026
Muda: Saa Tisa Alasiri
Mahali: Brigittaplatz 1, 1200 Vienna

Karibuni nyote!

Adresse

Brigittaplatz 1
Wien
1200

Öffnungszeiten

15:00 - 17:00

Webseite

Benachrichtigungen

Lassen Sie sich von uns eine E-Mail senden und seien Sie der erste der Neuigkeiten und Aktionen von Swahili Speaking Catholic Community, Vienna Austria erfährt. Ihre E-Mail-Adresse wird nicht für andere Zwecke verwendet und Sie können sich jederzeit abmelden.

Teilen