TAG Amani Christian Centre

  • Home
  • TAG Amani Christian Centre
Call

TAG Amani Christian Centre TAG Amani Christian Centre, is a church where Holy Spirit moves mightily to minister salvation and healing miracles.

Come and experience active faith and life-changing teachings and sermons. You shall know the truth and the truth will set you free.

05/04/2026

Shalom watu wa Mungu. Karibuni katika kanisa la TAG Amani Christian Centre, Soweto Moshi, kesho tar 6/4 kwenye mkesha wa kusifu na kuabudu. Ibada hii imeandaliwa na Timu ya Heavenly Melody. Kwaya na waimbaji mbalimbali watakuwepo. Kuanzia saa mbili kamili usiku. Wote mnakaribishwa. Usipange kukosa🥰🙏

Usipange kukosa
26/02/2026

Usipange kukosa

25/02/2026

Askofu Benjamin William Bukuku wa huduma ya 'KWELI ITAKUWEKA HURU' anakualika kwenye mkutano mkubwa wa ijili, utakaoanza tar 1/3/2026 katika viwanja vya Kanisa la T.A.G Amani Christian Center, Soweto Moshi, muda ni saa tisa alasiri. Ukisikia au kuona tangazo hili mtaarifu na mwenzako.

Kwa taarifa zaidi piga simu namba 0621863838

Wote mnakaribishwa

08/09/2024

Tazama clip hii Hadi mwisho. Usipange kukosa mkutano huu muhimu sana na share na watu wengine.
Wote MNAKARIBISHWA🙏

Askofu Benjamin William Bukuku wa huduma ya "Kweli itakuweka huru" anapenda kuwakaribisha wote kwenye mkutano mkubwa wa ...
07/09/2024

Askofu Benjamin William Bukuku wa huduma ya "Kweli itakuweka huru" anapenda kuwakaribisha wote kwenye mkutano mkubwa wa injili, utakaofanyika Katika viwana vya Kanisa la AMANI Christian Centre, Soweto-Moshi, kuanzia tar 11-15/9/2024 saa tisa alasiri.
Upatapo ujumbe huu shirikisha ndugu, jamaa na marafiki zako wasikose tukio hili muhimu.
Mungu akubariki sana 🙏

08/07/2024

You are invited to join us in our English language Service 🙏

Karibu uungane nasi kwenye Ibada ya Jumapili kwa Lugha ya Kiswahili
06/07/2024

Karibu uungane nasi kwenye Ibada ya Jumapili kwa Lugha ya Kiswahili

Shalom! Shalom! Watu wa Mungu. Tunapenda kuwakaribisha kwenye Ibada ya nguvu siku ya Jumapili. Askofu Dr. Benjamin Bukuk...
25/05/2024

Shalom! Shalom! Watu wa Mungu. Tunapenda kuwakaribisha kwenye Ibada ya nguvu siku ya Jumapili. Askofu Dr. Benjamin Bukuku wa huduma ya kweli itakuweka huru atahubiri, bila kusahau Amani praise team, Amani na Glory Choir pia zitahudumu.
Njoo tujifunze neno la Mungu, walete wenye shida, Mungu atakutana na shida zao na hawatabaki k**a walivyokuwa.
Kanisa lipo Soweto, barabara kuu inayotoka memorial kuelekea bonite.
Mungu awabariki sana🙏

Address

Soweto

POBOX8854

Telephone

+255755341833

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TAG Amani Christian Centre posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

  • Want your organization to be the top-listed non profit organization?

Share