We Love Peace

  • Home
  • We Love Peace

We Love Peace Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from We Love Peace, Community Organization, .

21/11/2025

In the chaotic aftermath of Tanzania’s disputed presidential election last month, police and gun-wielding men on patrol shot at groups of protesters, many of whom appeared unarmed or were holding only rocks and sticks, a CNN investigation has found.

International Criminal Court: tumeni ushaidi wa mauaji hapa video na picha na maelezo kwa kifupi!https://otplink.icc-cpi...
04/11/2025

International Criminal Court: tumeni ushaidi wa mauaji hapa video na picha na maelezo kwa kifupi!
https://otplink.icc-cpi.int

International Criminal Court: tumeni ushaidi wa mauaji hapa video na picha na maelezo kwa kifupi!https://otplink.icc-cpi...
04/11/2025

International Criminal Court: tumeni ushaidi wa mauaji hapa video na picha na maelezo kwa kifupi!
https://otplink.icc-cpi.int

Wakati wa uchaguzi nchini Tanzania, raia wengi walipoteza maisha katika mazingira ya kusikitisha. Maandamano ya amani yaligeuka kuwa umwagaji damu, huku wananchi wakishambuliwa kwa risasi zamoto wakiwa mitaani na majumbani. Miongoni mwa waliouawa walikuwepo watoto, vijana, wazazi, wazee, mabinti na hata wajawazito. Mauaji haya yalifanyika katika muktadha wa kisiasa, yakihusisha vyombo vya dola na ukimya wa mamlaka.

Kulingana na sheria za kimataifa, mauaji ya raia wasiojihami katika mazingira ya kisiasa yanaweza kutafsiriwa k**a uhalifu dhidi ya binadamu. Mahak**a ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) ina mamlaka ya kushughulikia viongozi wa juu pale ambapo haki za msingi zinakiukwa bila hatua kuchukuliwa. Rais Samia Suluhu Hassan hawezi kukwepa mashtaka endapo ushahidi utaonesha kuwa mauaji hayo yalifanyika chini ya uongozi wake bila kuwajibisha waliohusika. Uwajibikaji wa kimataifa hauzuiliki kwa mamlaka ya kitaifa pekee.

Ili kesi ifikishwe ICC, ushahidi wa matukio unapaswa kukusanywa na kuwasilishwa na waathirika, mashahidi, na taasisi huru. Mashirika ya haki za binadamu na wachunguzi wa kimataifa wanapaswa kutoa ripoti rasmi. Shinikizo la kidiplomasia linahitajika kuhimiza uchunguzi huru, na maombi rasmi kwa ICC yanaweza kufunguliwa na nchi mwanachama, Ofisi ya Mwendesha Mashtaka wa ICC, au Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa. Huu ni wito wa haki kwa waliopoteza maisha bila sababu.

International Criminal Court: tumeni ushaidi wa mauaji hapa video na picha na maelezo kwa kifupi!https://otplink.icc-cpi...
04/11/2025

International Criminal Court: tumeni ushaidi wa mauaji hapa video na picha na maelezo kwa kifupi!
https://otplink.icc-cpi.int

03/11/2025

TANZANIA MASSACRE - GENOCIDE!

English: 💔 This is Gaza in Africa 💔 As you are reading this post, countless dead bodies line the streets in many regions...
03/11/2025

English: 💔 This is Gaza in Africa 💔
As you are reading this post, countless dead bodies line the streets in many regions of Tanzania. The most affected area is Dar es Salaam, where many young people have been brutally murdered by the very police force that should be protecting them.

The current Tanzanian regime has shut down the internet nationwide, aiming to hide their evil actions against innocent people. Many African presidents and African Union officials have turned a blind eye, instead offering congratulations to the new President, who was never elected by the people of Tanzania.

Is this the new Gaza in Africa unfolding?

Swahili: 💔 Gaza barani Afrika 💔
Usomavyo chapisho hili, maiti zisizo na hesabu zimesambaa mitaani katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania. Eneo lililoathirika zaidi ni Dar es Salaam, ambapo vijana wengi wameuawa kwa ukatili na polisi hao hao ambao wanapaswa kuwa walinzi wa wananchi.

Serikali ya sasa ya Tanzania ilizima huduma ya mtandao kote nchini, lengo likiwa ni kuficha vitendo vyao vya kiovu dhidi ya watu wasio na hatia. Rais wengi wa Afrika na viongozi wa Umoja wa Afrika wamekanyaga macho, wakiendelea kumpongeza Rais ambaye hakuchaguliwa na wananchi wa Tanzania.

Je, hii ndiyo Gaza mpya barani Afrika inayoibuka?

Hashtags:

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when We Love Peace posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your organization to be the top-listed Non Profit Organization?

Share