Pastor Donis and Nnunu Nkone - Kiswahili Page

Pastor Donis and Nnunu Nkone - Kiswahili Page Katika Ukurasa Huu Tunafanya yafuatayo: Tunahubiri, Tunafundisha, Tunashauri Ndoa, Tunaombea Watu Tunahubiri na Kufundisha Neno la Mungu,
2.

KARIBU Katika ukurasa huu wa Facebook, Mimi Pastor Donis na Nnunu Nkone tunafanya yafuatayo:
1. Tunafundisha Ndoa,
3. Tunatoa mashauri mbalimbali yakiwemo mashauri ya Ndoa,
4. Video za Waimbaji mbalimbali wa Gospel Music, . . .
5. Na Mengine mengi sana. KARIBU SANA NA TUNAOMBA UWAFAHAMISHE NA WENGINE KUHUSU UKURASA HUU WA FACEBOOK. UBARIKIWE SANA NA BWANA YESU

Huyu ni Mke Wangu Pastor Nnunu.  Naomba umuandikie maneno ya Kumpa Moyo.  She is an amazing Woman of God.  Ni muhubiri a...
05/29/2026

Huyu ni Mke Wangu Pastor Nnunu. Naomba umuandikie maneno ya Kumpa Moyo. She is an amazing Woman of God. Ni muhubiri asierahisisha au kupunguza Ukali wa NENO. Mtamkie Baraka

05/28/2026

MAMBO YANAYOSABABISHA AJALI ZA KIROHO KATIKA BARABARA YA KIROHO

Jamani Facebook Family and Friends, Tunaomba Utusaidie Kumbariki our Last Born Donivin Donis Nkone Ame-Graduate Tunamshu...
05/28/2026

Jamani Facebook Family and Friends, Tunaomba Utusaidie Kumbariki our Last Born Donivin Donis Nkone Ame-Graduate Tunamshukuru MUNGU saanaa sana. Tunawashukuru saanaa sana Family and Friends walioweza Kuja Kwenye Graduation. MUNGU Awabariki saana Tunawapenda

05/27/2026
TUKI-IELEWA DHAMBI VIZURI,, TUKI-JIUA DHAMBI VIZURI, HATUTAKUBALI KUZUBAISHWA AU KUPUMBAZWA NA RAHA TUNAYOIPATA KUTOKA N...
05/26/2026

TUKI-IELEWA DHAMBI VIZURI,, TUKI-JIUA DHAMBI VIZURI, HATUTAKUBALI KUZUBAISHWA AU KUPUMBAZWA NA RAHA TUNAYOIPATA KUTOKA NDANI YA DHAMBI.

05/26/2026

MUNGU AKIFANYA JAMBO LISILOKUPENDEZA, NYAMAZA KIMYA USIMLAUMU MUNGU WALA KUMKOSOA MAANA HUJUI NJIA ZA MUNGU WALA MAWAZO YAKE.

05/24/2026
Tunaomba sana Radhi/Msamaha.  Karibuni sana Jumapili Ijayo Tuendelee
05/24/2026

Tunaomba sana Radhi/Msamaha. Karibuni sana Jumapili Ijayo Tuendelee

JAMANI, HAPPY BIRTHDAY TO OUR INCREDIBLE FIRST BORN DONIS NKONE JR.  Dear Family and Friends, Please Help us Wish Our Be...
05/21/2026

JAMANI, HAPPY BIRTHDAY TO OUR INCREDIBLE FIRST BORN DONIS NKONE JR. Dear Family and Friends, Please Help us Wish Our Best of The Best Son a Big Happy Birthday. Donis My Son, Without You, Mummy and I Would Have Heavily Struggled to Successfully Accomplish many Things in our Lives. Asante saanaa sanaaa sana for Being Our Best of The Best Son in The World.
TUNAKUPENDAAAAAAAAA❤️❤️❤️❤️❤️❤️

05/21/2026

JIKUMBUSHE NENO HILI

Address

Columbus, OH

Telephone

+16142602636

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pastor Donis and Nnunu Nkone - Kiswahili Page posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Pastor Donis and Nnunu Nkone - Kiswahili Page:

Share