27/03/2024
TWENDE ZETU KIDOTI NA IHTISABA CHARITABLE ORGANIZATION
Asalamu Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh
Kua miongoni mwa wafadhili wakubwa kuwafutarisha ndugu zete wakidoti, siku ya jumapili ya tarehe 31 March 2024, kwa kutuma sadaqa yako sasa kupitia TIGOPESA 0777710514 Siti Abdi au kwakutufikishia bidhaa k**a vile mchele, unga wa ngano na sukari.
*"Toeni tulivyowaruzuku kabla hamjafikwa na umauti"* Mohammed Bakar