Surrender For Freedom Treatment Center-Sober House

Surrender For Freedom Treatment Center-Sober House Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Surrender For Freedom Treatment Center-Sober House, Nonprofit Organization, P. O Box 16, Usa River.

We are a Non-profit Organisation as a Sober living facility with the Reg no.00NGO/R/2968 located in a Arusha at Mji Mwema Leganga Usa River, Dealing with all people with Substance use Disorder as a Soberfree lifestyleCommunity.

Support dont punish.
17/05/2026

Support dont punish.

We will be there alive and kicking Support dont punish.
14/05/2026

We will be there alive and kicking
Support dont punish.

04/04/2026
10/02/2026

Asante itv

Kamishina wa kinga na tiba kutoka mamlaka ya udhibiti na kupambana na dawa,Dr Peter mfisi  ameshiriki kutoa vyeti kwa wa...
10/02/2026

Kamishina wa kinga na tiba kutoka mamlaka ya udhibiti na kupambana na dawa,Dr Peter mfisi ameshiriki kutoa vyeti kwa wakufunzi wa mafunzo ya URC PEERs ToT Training iliyofanyika mkoani Tanga na Dar Es Salaam, mafunzo yamewezeshwa na asasi ya Gift Of Hope Foundation chini ya Mratibu wa mamlaka ya udhibiti na kupambana na dawa za kulevya pamoja na Colombo Plan-Drug Advisory Programme, lengo la mafunzo hayo ni kuwezesha watu walipitia matumizi ya dawa za kulevya na kua katika upataji nafuu waweze kufanya shughuli na huduma kitaaluma kwa kufata muongozo wa utoaji elimu sahihi iliyothibitishwa kisayansi, wakufunzi 52 wametoka katika mikoa mbalimbali ya Tanzania k**a Tanga,Dar Es salaam, Dodoma, kilimanjaro ,Arusha,mbeya na Pwani .tukio hili la kutoa vyeti limefanyika mkoani morogoro kwenye kongamano la Afrika ya kesho.

Surrender For Freedom Treatment we partipated at Africa ya Kesho International confrence. Confrence on opioids Misuse an...
10/02/2026

Surrender For Freedom Treatment we partipated at
Africa ya Kesho International confrence.
Confrence on opioids Misuse and Drug Abuse Prevention
The event have been held at Jordan University Morogoro.

Surrender For Freedom Treatment kwa kushirikiana na  ofisi ya DCEA kaskazini na wawakilishi wa nyumba za upataji nafuu m...
27/01/2026

Surrender For Freedom Treatment kwa kushirikiana na ofisi ya DCEA kaskazini na wawakilishi wa nyumba za upataji nafuu mkoa wa Arusha, leo tumeshiriki upandaji miti ya kivuli na matunda katika maeneo ya mashuleni na sober houses katika kuadhimisha siku ya kuzaliwa ya Rais wetu Dr Samia Suluhu Hassan.
Shughuli hii imelenga kumpongeza Mh Rais na kuenzi maono yake katika utunzaji wa mazingira kwani kupanda miti ni alama ya kulinda maisha na utu wa watanzania.
Aidha pia kwa kushirikiana na wadau wa nyumba za upataji nafuu na maafisa ustawi kutoka DCEA tulieza kutoa elimu ya madhara ya dawa za kulevya kwa jamii ili kulinda nguvu kazi ya taifa.

🎄 CHRISTMAS GREETINGS 🎄As we celebrate this Christmas season, Surrender for Freedom Treatment extends warm wishes to our...
24/12/2025

🎄 CHRISTMAS GREETINGS 🎄
As we celebrate this Christmas season, Surrender for Freedom Treatment extends warm wishes to our clients, families, partners, and the entire community for a Merry Christmas and a Happy New Year.
May this Christmas bring hope, healing, love, and new beginnings. It is a time to reflect on life, forgiveness, and restoration. We remain committed to supporting individuals on their journey toward freedom from alcohol and substance use disorder, and toward lives filled with dignity and purpose.
Thank you for your continued trust and support.
May God bless you all.
Sincerely,
Team
Surrender for Freedom Treatment Center.

16/12/2025

Naibu Meya wa jiji la Tanga mh khalid Rashid ambae alimuakilisha mstahiki Meya wa jiji la Tanga Leo tarehe 19 desemba Amefunga rasmi mafunzo ya siku tano ya wakufunzi wa makundi rika wanaohudumia wagonjwa wa matumizi ya vilewesho yaliyofanyika mkoani Tanga,na kuhudhuriwa na watoa huduma za kinga na tiba, na Wakurugenzi wa Taasisi za utoaji tiba na elimu kinga.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Surrender For freedom Treatment pia alipata nafasi ya kutoa neno la shukrani kwa waratibu wote waliowezesha mafunzo haya.

11/12/2025

Katika kuenedela na mafunzo mwenyekiti wa Surrender For freedom akiwakilisha Majibu ya kwa nini muhimu kupata dopamine(kemikali za kuleta faraja au tuzo katika ubongo) kwa mgonjwa wa tatizo la vilewesho.
Mafunzo yanendelea kutujengea uwezo wa kupata uelewa za sababu za kuathirika kwa ubongo na kutoa dopamine (kemikali za kuzalisha tuzo au faraja katika ubongo)zisizo za asili zaidi ya kawaida.
Hali ambayo inapelekea mgonjwa kuhitaji tena na tena mara nyingi zaidi pamoja na madhara makubwa yanayotokea katika uhalisia wa mgonjwa
SUPPORT DONT PUNISH
WE DO RECOVER
ITS A TREATABLE ILLNESS.

11/12/2025

Kamishna wa kinga na tiba kutoka Dcea Dr Peter Mfisi, akifanya ufunguzi wa mafunzo URC PEERs Training ,Master Trainers siku ya leo tarehe 11. november.2025.
Surrender For Freedom tunashiriki kwa siku tano ambapo mafunzo haya yameratibiwa na na Gift of hope foundation chini ya mradi wa focus on youth,Not the substance.Issup Tanzania,DCEA kwa kushirikiana na Colombo plan-drug adviosry programme TANPUD Tanzania,Network For Voice Of Sober House.
Ni furaha na shukran kwetu sana kwa wawezeshaji wote walioshiriki katika mafunzo haya yatayopelekea kuongeza ufanisi katika kuhudumia walengwa wetu na jamii kwa ujumla.

Address

P. O Box 16
Usa River

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Surrender For Freedom Treatment Center-Sober House posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share