Nyakitonto Youth for Development Tanzania

Nyakitonto Youth for Development Tanzania Nyakitonto Youth for Development Tanzania (NYDT) is a youth-led local organization ,Operating in Tanzania Mainland,Head Office in Kigoma Region

15/08/2025

Kilimo Ni Fursa! Kilimo ni Ajira! Vijana Tuchangamkie Fursa.

Nyakitonto Youth For Development Tanzania Mwezi huu ni mwezi wa maandalizi ya shambaLima mapema ili shamba lipoe Lima ma...
11/08/2025

Nyakitonto Youth For Development Tanzania

Mwezi huu ni mwezi wa maandalizi ya shamba

Lima mapema ili shamba lipoe

Lima mapema ili shamba liwe safi

Nunua Mbegu Bora

Nunua Mbolea Bora na ya kutosha

Nunua Viuatilifu vya kuandaa shamba hasa na kulifanya shamba lisiwe na magugu.

Andaa Booster na sumu kali za wadudu.

Kilimo Biashara Huanza Mapema Kabisa mwezi wa Nane ili mwezi wa 9 shamba lipoe na mwezi wa kumi upande mahindi.

Kilimo ni maandalizi na maandalizi ni sasa.

Kwa elimu na teknolojia za kilimo karibu Nyakitonto Youth for Development Tanzania au Tuwasiliane kwa simu 0765794896 JOEL

Kazi Kazi Kazi Kazi ! Ukiwa Bado una nguzu fanya kazi ,hakuna mafanikio bila kufanya kazi.Kilimo ni Biashara Kilimo ni A...
11/01/2025

Kazi Kazi Kazi Kazi ! Ukiwa Bado una nguzu fanya kazi ,hakuna mafanikio bila kufanya kazi.

Kilimo ni Biashara
Kilimo ni Ajira
Kilimo ni Maisha
Kilimo ni Lishe

Kwa teknolojia za kilimo bora wasiliana nasi Nyakitonto Youth For Development Tanzania 0765794896 .

Tutakuhudumia bure kabisa!!!!!

Nyakitonto Youth for Development Tanzania Kilimo cha mahindi Kibiashara Nguvu ya Vijana katika Kilimo! Hongereni   Youth...
28/12/2024

Nyakitonto Youth for Development Tanzania

Kilimo cha mahindi Kibiashara

Nguvu ya Vijana katika Kilimo! Hongereni Youth-Women Farmers Group Kwa hisani ya COMPANY LIMITED, na Youth For Development Tanzania (NYDT)

Kilimo ni Maisha
Kilimo ni Biashara
Kilimo ni Ajira
Kilimo ni Lishe ya Familia ,Taifa na Dunia .

Kwa Mahitaji ya elimu ,Teknolojia za kilimo na order za Maharage, Mahindi, Alizeti Tutafute Nyakitonto Youth For Development Tanzania Tutakuhudumia .

Nyakitonto Youth for Development Tanzania  Nguvu ya Vijana katika Kilimo! Hongereni   Youth-Women Farmers Group Kwa hisa...
14/12/2024

Nyakitonto Youth for Development Tanzania

Nguvu ya Vijana katika Kilimo!

Hongereni Youth-Women Farmers Group Kwa hisani ya COMPANY LIMITED, na Youth For Development Tanzania (NYDT)

Kilimo ni Maisha
Kilimo ni Biashara
Kilimo ni Ajira
Kilimo ni Lishe ya Familia ,Taifa na Dunia .

Kwa Mahitaji ya elimu ,Teknolojia za kilimo na order za Maharage, Mahindi, Alizeti Tutafute Nyakitonto Youth For Development Tanzania 0765 794896

Tutakuhudumia .

Nyakitonto Youth for Development Tanzania   Nguvu ya Vijana katika Kilimo! Hongereni   Youth-Women Farmers Group Kwa his...
06/12/2024

01/12/2024

Nyakitonto Youth for Development Tanzania

Nguvu ya Vijana katika Kilimo! Hongereni Youth-Women Farmers Group Kwa hisani ya COMPANY LIMITED, na Youth For Development Tanzania (NYDT)

Kilimo ni Maisha
Kilimo ni Biashara
Kilimo ni Ajira
Kilimo ni Lishe ya Familia ,Taifa na Dunia .

Kwa Mahitaji ya elimu ,Teknolojia za kilimo na order za Maharage, Mahindi, Alizeti Tutafute Nyakitonto Youth For Development Tanzania

Tutakuhudumia .

Haya ni Maharage Aina ya  SOYA au Kablanketi ile ya  mbeya,Rangi ya Zambalau Matamu,Mazuri,yanawahi kuiva.Inbox Me ! Wek...
19/11/2024

Haya ni Maharage Aina ya SOYA au Kablanketi ile ya mbeya,Rangi ya Zambalau Matamu,Mazuri,yanawahi kuiva.

Inbox Me ! Weka order leo 0765794896 JOEL na Karibu tusaini MKATABA wa wewe kuwa mnunuzi wetu wa Maharage.

Utapata Maharage ya Kutosha.

Nyakitonto Youth for Development Tanzania

Nguvu ya Vijana katika Kilimo!

Hongereni kikundi cha Youth-Women Farmers Group Nyakitonto Kwa hisani ya COMPANY LIMITED, na Youth For Development Tanzania (NYDT)

Kilimo Kinalipa!

Kilimo ni Maisha
Kilimo ni Biashara
Kilimo ni Ajira
Kilimo ni Lishe ya Familia ,Taifa na Dunia .

1.Kwa Mahitaji ya mzigo mkubwa ,

2.Elimu ya Kilimo Bure hasa kwa Vijana wa K**e na Kiume,Teknolojia za kilimo na order za Maharage, Mahindi, Alizeti

3.Kilimo cha mkataba kuzalisha mbegu au Nafaka

Tutafute 0765 794896 Joel Nyakitonto Youth For Development Tanzania Tutakuhudumia .

Nyakitonto Youth for Development Tanzania Nguvu ya Vijana katika Kilimo! Hongereni   Youth-Women Farmers Group Kwa hisan...
18/11/2024

Nyakitonto Youth for Development Tanzania

Nguvu ya Vijana katika Kilimo! Hongereni Youth-Women Farmers Group Kwa hisani ya COMPANY LIMITED, na Youth For Development Tanzania (NYDT)

Kilimo ni Maisha
Kilimo ni Biashara
Kilimo ni Ajira
Kilimo ni Lishe ya Familia ,Taifa na Dunia .

Kwa Mahitaji ya elimu ,Teknolojia za kilimo na order za Maharage, Mahindi, Alizeti Tutafute Nyakitonto Youth For Development Tanzania Tutakuhudumia .

Address

Noradi, Kigoma Ujiji
Ujiji

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nyakitonto Youth for Development Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Nyakitonto Youth for Development Tanzania:

Share