17/09/2025
MLIDHANI TUMEMALIZA? SAFARI NDIO KWANZA INAANZA! 🔥
Vumbi la Pande Cup 2025 bado halijatulia, na tayari tunawaletea kitu kipya na cha moto zaidi mwezi Desemba!
Jitayarisheni kwa mwezi mzima wa burudani isiyo na kifani. Tunawaletea:
🏆 PANDE CUP: BONANZA LA SIKUKUU - Mashindano makali ya mtoano!
🥊 NA KWA MARA YA KWANZA KABISA... PANDE FIGHT NIGHT!
Heshima, Nidhamu, na Fursa kwa Wanawake wajasiriamali vitaendelea kuwa nguzo zetu. Hii ni zaidi ya michezo, ni maendeleo yetu.
Anza kuandaa timu yako. Anza kujipanga. Yaani Disemba hii ni... !
Tag rafiki yako ambaye hatakiwi kukosa hili! 👇