Islamic Education Center for the Deaf

Islamic Education Center for the Deaf IECD (Islamic Education Center for the Deaf) Promoting inclusive Islamic learning for the Deaf. Based in Tanga, Tanzania.

Eid Mubarak ๐ŸŒ™
21/03/2026

Eid Mubarak ๐ŸŒ™

Ramadhani Mubarak๐ŸŒ™
19/02/2026

Ramadhani Mubarak๐ŸŒ™

๐Ÿ“– Qurโ€™an ni haki ya kila Muislamu, hata wenye viziwi.Kupitia Islamic Education Centre for the Deaf (IECD), tunaendesha h...
25/12/2025

๐Ÿ“– Qurโ€™an ni haki ya kila Muislamu, hata wenye viziwi.

Kupitia Islamic Education Centre for the Deaf (IECD), tunaendesha harakati za kuhakikisha mafunzo na maamrisho ya Allah ๏ทป yanafikiwa kwa urahisi na **ndugu zetu wenye viziwi, ambao kwa muda mrefu hawakupata fursa hii.

Kwa neema ya Allah, IECD imekamilisha utafiti na usanifishaji wa vitabu 3 maalumu vya usomaji wa Qurโ€™an kwa tahajia za vidole:

๐Ÿ“˜ Mbinu ya Usomaji wa Qurโ€™an kwa Tahajia za Vidole
๐Ÿ“— Qaida Maalumu ya Alama
๐Ÿ“™ Ulemavu na Watu Wenye Ulemavu katika Qurโ€™an

Tunapenda kutoa shukrani za dhati kwa taasisi ya ASHAB kupitia Islamic Help Tanzania โ€“ Tanga kwa kudhamini jumla ya nakala 150 za awali.

๐Ÿคฒ Uhitaji ni mkubwa zaidi nchini na nje ya nchi. Changia nasi ili elimu ya Qurโ€™an iwafikie waliokua wakisahaulika kwa muda mrefu.

โœจ โ€œAliyeonesha njia ya kheri ana ujira k**a aliyeitenda.โ€ (Sahih Muslim, Hadithi ya 1893)

Gharama ya kitabu kimoja ni Tsh. 10,000.

Kwa taarifa zaidi wasiliana nasi kupitia namba zifutazo.

+255712082016 (Mwenyekiti wa Taasisi)

Tuna furaha kubwa kuitambulisha rasmi ๐—œ๐—˜๐—–๐—— โ€“ ๐—œ๐˜€๐—น๐—ฎ๐—บ๐—ถ๐—ฐ ๐—˜๐—ฑ๐˜‚๐—ฐ๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ผ๐—ป ๐—–๐—ฒ๐—ป๐˜๐—ฟ๐—ฒ ๐—™๐—ผ๐—ฟ ๐—ง๐—ต๐—ฒ ๐——๐—ฒ๐—ฎ๐—ณ! ๐ŸŒ™๐Ÿ“šTaasisi hii maalum imeanzishwa kwa...
02/06/2025

Tuna furaha kubwa kuitambulisha rasmi ๐—œ๐—˜๐—–๐—— โ€“ ๐—œ๐˜€๐—น๐—ฎ๐—บ๐—ถ๐—ฐ ๐—˜๐—ฑ๐˜‚๐—ฐ๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ผ๐—ป ๐—–๐—ฒ๐—ป๐˜๐—ฟ๐—ฒ ๐—™๐—ผ๐—ฟ ๐—ง๐—ต๐—ฒ ๐——๐—ฒ๐—ฎ๐—ณ! ๐ŸŒ™๐Ÿ“š

Taasisi hii maalum imeanzishwa kwa ajili ya kutoa elimu ya Kiislamu kwa watu wenye ulemavu wa uziwi kwa kutumia 'lugha ya alama'. Tupo Tanga, Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ.

Tangu mwaka 2020 tumefanikisha kuwafundisha walimu wa madrasa, kufundisha Qurโ€™an kwa Viziwi, na kutoa huduma ya tafsiri ya lugha ya alama katika misikiti na mikutano ya kidini.

๐Ÿ“ข IECD ni sauti ya mabadiliko katika elimu ya Kiislamu kwa Viziwi.
Karibu ufuatilie, ushiriki, na uunge mkono safari hii ya kutoa nuru kwa wote. ๐Ÿคโœจ




Address

Tanga
0000

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Islamic Education Center for the Deaf posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share