Tanga one resource foundation

Tanga one resource foundation Tanga one resource foundation - TORF is a non governmental organisation that is based in Tanzania, Tanga City at Mkwakwani Street.

We deal with children, the unemployed Youth, women, disables and senior citizens who live in poverty.

24/06/2026

🌿 Karibu Tanga One Resources Foundation 🌿
Tunatengeneza mapambo mbalimbali ya nyumba, ofisi, hoteli , gari na sehemu mbalimbali kwa kutumia mkonge wa asili. Bidhaa zetu zote ni za kazi ya mikono (handmade), zenye ubora, uimara na ubunifu wa kipekee.
✨ Kutoka mkonge hadi bidhaa nzuri za kupendezesha mazingira yako.
📩 Wasiliana nasi kuweka oda yako leo.

24/06/2026

🌿 Karibu Tanga One Resources Foundation
Tunatengeneza mapambo mbalimbali ya nyumba, ofisi, hoteli, gari na sehem mbalimbali kwa kutumia mkonge wa asili. Bidhaa zetu zote ni za kazi ya mikono (handmade), zenye ubora, uimara na ubunifu wa kipekee.
✨ Kutoka mkonge hadi bidhaa nzuri za kupendezesha mazingira yako.
📩 Wasiliana nasi kuweka oda yako leo.

04/05/2026

Tanga one resource foundation TORF - fahari ya Tanga. Kitengo cha Theatre performance tukiendelea na mazoezi ya Taarab Asilia ambapo ni maandalizi ya uzinduzi wa *Fahari ya Tanga theatre group*

10/04/2026

TORF - Fahari ya Tanga - yafanya kikao cha pili cha wasanii mbalimbali wa sanaa za majukwaani. Jambo kubwa linatarajiwa kufanyika hivi karibuni jijini Tanga In Sha Allah.

TORF yapokea wageni/watalii kutoka Mombasa Kenya kupitia kampuni ya utalii ya Tanga Wonders06.04.2026
06/04/2026

TORF yapokea wageni/watalii kutoka Mombasa Kenya kupitia kampuni ya utalii ya Tanga Wonders
06.04.2026

26/02/2026

TORF inazidi kuchanja mbuga...

Address

Tanga

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tanga one resource foundation posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share