Tanga Initiative and Mindset Organization

Tanga Initiative and Mindset Organization TIMO is registered NGO for stimulating community's socio-economic development by shaping mind/attit

Furaha ya Mwandishi yoyote ni kuona amemaliza kazi alioandika, kuchapa kazi alioiandika, kuiingiza sokoni kazi alioiandi...
16/11/2024

Furaha ya Mwandishi yoyote ni kuona amemaliza kazi alioandika, kuchapa kazi alioiandika, kuiingiza sokoni kazi alioiandika na Mwisho furaha ya kweli ni kupata malipo yatakayokwenda sanjari na kazi alioandika.
Mwandishi hutamani Maisha mazuri, ale vizuri, alale pazuri.
Hivyo si budi kumpa ujira na malipo yanayostahili kwa kazi yake na si dhuluma.

NUKUU ZA ALMARUHUM SHEIKH SHAABAN ROBERT KUTOKA KATIKA VITABU VYAKE..
27/10/2024

NUKUU ZA ALMARUHUM SHEIKH SHAABAN ROBERT KUTOKA KATIKA VITABU VYAKE..

Tunawatakia Kumbukizi njema ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, 14/10/1999
14/10/2024

Tunawatakia Kumbukizi njema ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, 14/10/1999

Leo ni siku ya pili katika Maonyesho ya makubwa ya Kimataifa ya Utalii yaani Swahili International Tourism Expo, Yanayoe...
12/10/2024

Leo ni siku ya pili katika Maonyesho ya makubwa ya Kimataifa ya Utalii yaani Swahili International Tourism Expo, Yanayoendela Mlimani City Dar Es Salaam. Pamoja na Tanga Womens Gala na Jukwaa la Uwezeshaji wa Wanawake Kiuchumi Tanga, kwa pamoja tunauwakilisha Mkoa wa Tanga kwa Uratibu wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa Mkoa Mh. Balozi, Dk. Batilda Buruhani,
Tulipata nafasi ya Kuelezea Vivutio vya Utalii, Historia na Utamaduni wa Tanga, Pamoja na Kumuongelea Hayati, Sheikh. Shaaban Robert mbele ya Wawekezaji na Wanunuzi katika Jukwaa la Uwekezaji na Utalii.
Tukitumia fursa hii kukaribisha Wanunuzi na Wawekezaji kuja kuwekeza Tanga.
Mgeni Rasmi alikuwa Mbunge na Naibu Waziri Wizara ya Maliasili na Utalii vile Ile Mh. Dastani Kitandula.

Swahili International Tourism Expo 8th Edition. Mwaka huu tumepata fursa kuuwakilisha Mkoa Tanga katika maonyesho makubw...
11/10/2024

Swahili International Tourism Expo 8th Edition. Mwaka huu tumepata fursa kuuwakilisha Mkoa Tanga katika maonyesho makubwa ya Kiutalii ya Kimataifa Mlimani City Dar Es Salaam.
Tanga Womens Gala Kwaniaba ya Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa Balozi Dk. Batilda S. Buruhani waliona Umuhimu wa kutupatia Nafasi TIMO Tuulezee Ulimwengu kuhusu Almaruhum Sheikh Shaaban Robert lakini pia Vivutio, Utamaduni na Historia ya Tanga.
Karibu ututembelee Upate kuijua Tanga katika Banda B06 Mlimani City Dar Es Salaam
hakika hutajutia.




.

Picha kwa niaba ya

Show original Translation

Picha ni Uzinduzi wa Shindano la mtandao la "VAA TOKELEZEA K**A ALMARUHUM SHEIKH SHAABAN ROBERT". Uzinduzi huu ulifanyik...
09/10/2024

Picha ni Uzinduzi wa Shindano la mtandao la "VAA TOKELEZEA K**A ALMARUHUM SHEIKH SHAABAN ROBERT".
Uzinduzi huu ulifanyika katika Mgawaha wa Swahili Lounge, Aliezindua shindano hili ni Balozi wa Tamasha kwa mwaka 2024 ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya Tanga, Ndugu. Japhary Kubecha
Masharti na Vigezo.
1. Unachotakiwa kufanya ni Kuvaa k**a Almaruhum Sheikh Shaaban Robert kwa wanaume na Siti Binti Saad kwa wanawake na kupiga picha yenye mwonekano mzuri Kisha kupost mtandaoni kwa "kututag" katika page zetu,
Facebook Initiative and Mindset Organization.
X :- Timo_tanga
IG :- Timo_tanga
LinkedIn Tanga Initiative and Mindset Organization (TIMO)
2. Kichwa Cha Habari ni Vaa Tokelezea k**a Almaruhum Sheikh Shaaban Robert.
3. Usisahau kuweka "Hashtag"


Picha itakayosambazwa kwa Wingi na kupendwa zaidi ndio watakuwa washindi kwa Mwezi wa Kumi na watapata Mwaliko kujumuika nasi Kunywa Chai ya N**i na Vyakula Asili Vya Tanga Pale SWAHILI LOUNGE.
Haitoshi watapata Mwaliko kuhudhuria Siku ya Tamasha kukaa Eneo Maalumu.

Ungependa kuisikia na kuifahamu TIMO, Shughuli zetu na Nini Tumekuandalia? Usihofu, tufuatilie Itakapofika majira ya Saa...
30/06/2024

Ungependa kuisikia na kuifahamu TIMO, Shughuli zetu na Nini Tumekuandalia? Usihofu, tufuatilie Itakapofika majira ya Saa Tano na nusu asubuhi leo tutakuwa live kutoka kituo cha Redio Mawimbi 88.5 AU tusikilize kupitia https://tunein.com/radio/Tk-Fm-885-TANGA-s287762/
Jambo kubwa linakuja......! Halmashauri ya Jiji la Tanga

Tk Fm 88.5 TANGA - Tk Fm 88.5 Tanga Radio is based in Tanga, a region of Tanzania, East Africa. Our aim is to achieve a highest amount of listeners through ethical and professional approach to our broadcasting. Our programs are set to make the public informed, at the...

Taasisi ilifanikiwa kuhudhuria Mafunzo ya Kujenga Uwezo (Capacity Building) yaliyoandaliwa na Shirika la Kimataifa la   ...
20/06/2024

Taasisi ilifanikiwa kuhudhuria Mafunzo ya Kujenga Uwezo (Capacity Building) yaliyoandaliwa na Shirika la Kimataifa la Linalofanya kazi kwa Mwamvuli katika Halmashauri ya Jiji la Tanga. Pia tunawashukuru wawezeshaji na washiriki wenza kwa ushirikiano wao na mawazo yao kipindi chote cha Mafunzo.

Taasisi ya Tanga Initiative and Mindset Organization (TIMO) tumekuwa miongoni mwa Mashirika yanayoshiri katika Mafunzo y...
15/06/2024

Taasisi ya Tanga Initiative and Mindset Organization (TIMO) tumekuwa miongoni mwa Mashirika yanayoshiri katika Mafunzo ya Kujenga uwezo (CAPACITY BUILDING) katika Mradi wa kupitia shirika la Kimataifa kupitia shirikia la .

09/05/2024
09/05/2024

*NEW*

**Join TIMO (Tanga Initiative and Mindset Organization) as a Volunteer**

Ready to embark on an exciting journey of impact and empowerment? TIMO, a dynamic multi-sector organization based in Tanga, is on the lookout for passionate volunteers. If you hold any diploma/ degree in social sciences or related, seize this opportunity to make a difference by sending your CV to [email protected]

**Motives:**
- **Community Connection:** Engage directly with local communities and witness the transformation firsthand.
- **Women's Empowerment:** Contribute to initiatives that prioritize empowering women and uplifting nearby residents.

Hurry! Only two chances are available to be part of this rewarding experience. The application deadline is Saturday, May 11, 2024, at 17:30. Unleash your potential and be part of a movement that sparks positive change. Join TIMO today and let's create a brighter tomorrow together!

Address

Duga Viwandani Street Tanga
Tanga

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 14:00

Telephone

+255655730007

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tanga Initiative and Mindset Organization posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Tanga Initiative and Mindset Organization:

Share