Jhhuuuu

Jhhuuuu Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Jhhuuuu, Community Center, Lushoto, Tanga.

25/03/2023
Kila sifa njema______________🤲
25/02/2023

Kila sifa njema______________🤲

10/02/2023

*Mwanamke* aliingia kwenye bucha ya nyama na kuuliza

"Una kuku?"

Muuza nyama akafungua friza na kutoa kuku pekee ambaye ndiye alikuwa amesalia akamweka kwenye mizani.

Mizani ikasoma Kilo 1.5.

Yule mwanamke akamtazama kuku kisha akauliza

"Hakuna mwingine ambaye walau ana kilo mbili?"

Muuza bucha akamrudisha kuku kwenye friza kisha akamtoa tena kuku yule yule na kumuweka kwenye mizani. Kwa ujanja wa hali ya juu akakandamiza mizani kwa kidole gumba na mizani ikasoma kilo 2.

"Safi sana." Alisema yule mwanamke.

"Nitachukua kuku wote wawili."

Hadi sasa kichwa cha muuza nyama bado kipo ndani ya friza akitafuta kuku wa pili........

*SEMA KWELI siku zote uwe huru....*

Kuna kitu utakumbuka
06/02/2023

Kuna kitu utakumbuka

Address

Lushoto
Tanga

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jhhuuuu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share