Istiqaama Tanga Tz

Istiqaama Tanga Tz Istiqaama Muslim Community of Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
๐Ÿ“Tanga

13/06/2026

TAREHE YA LEO !!!

Mwanafunzi wa  na  ; Qusai Suleiman Seif Al-Ghallaby akitoa Khutbah katika Msikiti wa Ibadhiy uliopo Barabara ya 12, Tan...
12/06/2026

Mwanafunzi wa na ; Qusai Suleiman Seif Al-Ghallaby akitoa Khutbah katika Msikiti wa Ibadhiy uliopo Barabara ya 12, Tanga.

Ni jambo la kufurahisha kuona vijana wakijitokeza katika kuieneza Dini ya Allah na kuhudumia Ummah. Tunamuomba Allah S.W amjaalie kheri, amzidishie elimu yenye manufaa, ikhlasi, na amfanye kuwa miongoni mwa wanaoongoza katika haki na uongofu !!!๐Ÿคฒ๐Ÿคฒ๐Ÿคฒ

ุงู„ู„ู‡ู… ุจุงุฑูƒ ููŠู‡ุŒ ูˆุงู†ูุน ุจู‡ ุงู„ุฅุณู„ุงู… ูˆุงู„ู…ุณู„ู…ูŠู†ุŒ ูˆุงุฌุนู„ ู„ู‡ ุงู„ู‚ุจูˆู„ ูˆุงู„ุชูˆููŠู‚ ููŠ ุงู„ุฏู†ูŠุง ูˆุงู„ุขุฎุฑุฉ. ๐Ÿคฒ

Ameen Yaa Rabbal 'Aalamiin !!!

Jumaa Mubarak !!!๐ŸŒน
12/06/2026

Jumaa Mubarak !!!๐ŸŒน

12/06/2026

Hii ndio maana ya TAQWA !!!

Sheikh Salim Al-Abry |

Assalam Alaykum Warahmatullah WabarakatuhAlhamdulillah kwa kufikiwa na Ijumaa nyengine.Tunakumbushia Kampeni yetu ya kuc...
11/06/2026

Assalam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh

Alhamdulillah kwa kufikiwa na Ijumaa nyengine.

Tunakumbushia Kampeni yetu ya kuchangia ๐“๐’๐‡.๐Ÿ๐ŸŽ๐ŸŽ๐ŸŽ kila Ijumaa kwa ajili ya kusomesha Watoto yatima na wasiojiweza elimu ya Dunia na Akhera.

Changia sasa kupitia namba:
YAS (TigoPesa) - 0713 499 955
M-Pesa - 0749 476 802

Jina: IBADHIY MUSLIM TANGA

Khutbah ya Ijumaa kesho in sha ALLAH katika Miskiti yetu jijini Tanga !!!
11/06/2026

Khutbah ya Ijumaa kesho in sha ALLAH katika Miskiti yetu jijini Tanga !!!

Address

Tanga

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Istiqaama Tanga Tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Istiqaama Tanga Tz:

Share