Hopes & Joy

Hopes & Joy We work in hospitality

02/09/2025

Tunakusudia kuwa na siku ya pamoja na watoto YATIMA NA WAISHIO KATIKA MAZINGIRA MAGUMU mwaka huu tena, ni mwezi wa kumi na mbili (12) au December 2025.
Siku hiyo tunataraji kufurahi pamoja nao na kuwapatia zawadi mbalimbali. Karibu uungane nasi kuwagusa watoto wetu hawa.

0614498992 namba ya kuwasiliana nasi. Kwa kupiga au sms

It’s our time.
02/09/2025

It’s our time.

Hii ilikuwa mwaka jana. Tunajiandaa tena kwa mwaka huu. Usipange kukosa kipindi hiki. Tamani kuwa mmoja kati yao watakao...
02/09/2025

Hii ilikuwa mwaka jana. Tunajiandaa tena kwa mwaka huu. Usipange kukosa kipindi hiki. Tamani kuwa mmoja kati yao watakao wagusa wahitaji kabla mwaka huu haujaisha.

Will you be part of us..!
Welcome and join us

Address

Mtendeni/Tabora
Tabora
45105

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Telephone

+255754608280

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hopes & Joy posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Hopes & Joy:

Shortcuts

Share