24/08/2024
🕰️ We’re diving deep into the rich history of Majestic Cinema and need your help! Have memories, stories, or photos to share? Know someone who does? Drop us a comment or send us a message. Let’s bring the past to life together!
——
Tunachunguza historia ya Majestic Cinema na tunahitaji msaada wako! Je, una kumbukumbu, hadithi, au picha za kushiriki? Unamjua mtu mwenye habari hizo? Tuambie kwenye maoni au tuma ujumbe. Hebu turudishe historia yetu hai pamoja!