Rajai Foundation

Website

Rajai Foundation Shirika linalopokea na kutoa misaada kwa wenye uhitaji katika jamii.

24/07/2026
Donate Now
14/03/2026

Donate Now

14/03/2026

Tumaini kwa jamii

09/03/2026

Mkurugenzi wa RAJAI FOUNDATION,
ndugu Rajab Juma Ndomondo,

baada ya kumalizika kwa mashindano haya, alitoa tamko rasmi akisisitiza kuwa tukio hili linaashiria mwanzo wa safari mpya ya kuendeleza na kuimarisha harakati za taasisi yetu.

Alieleza kuwa mafanikio haya si mwisho wa jambo, bali ni hatua muhimu inayofungua ukurasa mpya wa kujituma zaidi katika kuifikia jamii na kuendeleza malengo mema ya taasisi.

Aidha, alitoa shukrani za dhati kwa wadau wote, washiriki, na kila aliyeshiriki kwa namna moja au nyingine kufanikisha tukio hili.

“Leo tumeshuhudia mwanzo wa safari rasmi ya kuimarisha misingi ya RAJAI FOUNDATION. Tunakusudia kuendelea kujenga umoja, kuleta matumaini mapya kwa jamii, na kuhakikisha kuwa kila hatua tunayopiga inaleta manufaa kwa watu wanaotuzunguka,” alisema Mkurugenzi.

Aliongeza kuwa taasisi itaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali, kupokea ushauri na msaada, ili kuifanya RAJAI FOUNDATION iwe chombo imara cha kuleta mabadiliko chanya katika jamii.

Kwa pamoja tunaamini kuwa safari hii ya kheri ndiyo mwanzo wa mafanikio makubwa zaidi yajayo. 🤝✨

08/03/2026

Wasiliana nasi sasa

05/03/2026

Ungana nasi kuipa tumaini Jamii yenye uhitaji
Karibu saaana
Whatsapp
Sms
Call
0773 233 844

03/03/2026

KESHO INSHALLAAH TUTAKUWA MAENEO YA CHANIKA JIJINI DAR ES SALAAM

UNGANA NASI PAMOJA TUCHUME KHERI KWA KUIPA JAMII MATUMAINI MAZURI*

Rajai foundation
Tumaini kwa jamii

Rajai Online Tv
Voice of the Community

TAARIFA KWA UMMA📦 PACKAGE YA RAMADHAN – 1447HRajai Foundation inapenda kuutaarifu umma kuwa itakuwa na zoezi la ugawaji ...
01/03/2026

TAARIFA KWA UMMA

📦 PACKAGE YA RAMADHAN – 1447H

Rajai Foundation inapenda kuutaarifu umma kuwa itakuwa na zoezi la ugawaji wa vifurushi vya futari (Ramadhan Packages) ndani ya jiji la Dar es Salaam.

Zoezi hili litafanyika siku ya Jumapili, InshaAllah, ambapo tutatembelea maeneo yenye uhitaji mkubwa kwa lengo la kuwafikishia msaada wa chakula wahitaji na familia zisizojiweza.

Iwapo unafahamu eneo au familia yenye uhitaji wa msaada huu, tafadhali wasiliana nasi kupitia namba zilizoainishwa kwenye poster:

Piga simu moja kwa moja
Tuma ujumbe mfupi (SMS)
Au wasiliana nasi kupitia WhatsApp

Tafadhali tupe maelekezo sahihi ya eneo pamoja na maelezo mafupi ya uhitaji uliopo ili kurahisisha uratibu wa ugawaji.

🤝 RAJAI FOUNDATION
Tumaini Kwa Jamii

Imetolewa na Idara ya Habari na Mawasiliano kwa kushirikiana na Mkurugenzi, Eden Recep.

Address

Singida_Tanzania
Singida

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Rajai Foundation posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share