Baraza la Watoto Mkoa wa Mwanza - Mwanza Children Council

Baraza la Watoto Mkoa wa Mwanza - Mwanza Children Council Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Baraza la Watoto Mkoa wa Mwanza - Mwanza Children Council, Community Organization, Kiseke PPF, Nsumba, Mwanza.

baraza la watoto ni chombo huru cha watoto kilicho chini ya usimamizi wa wizara ya Afya maendeleo ya jamii wazee na watoto...na lengo kubwa ni kulunda na kutetea haki na masilahi ya watoto tz..

06/03/2025

Je, watoto na jamii wana suluhisho gani dhidi ya mabadiliko ya tabianchi? 🌍🌱 Sikiliza kipindi cha Sayari ya Watoto, ambapo watoto walitoa mawazo yao bunifu na suluhisho za kukabiliana na changamoto za tabianchi! πŸŽ™οΈπŸ’‘ Wasikilize sasa kupitia hapa hapa na tushirikiane kulinda mazingira

06/03/2025

Je, watoto na jamii wana suluhisho gani dhidi ya mabadiliko ya tabianchi? 🌍🌱 Sikiliza kipindi cha Sayari ya Watoto, ambapo watoto walitoa mawazo yao bunifu na suluhisho za kukabiliana na changamoto za tabianchi! πŸŽ™οΈπŸ’‘ Wasikilize sasa kupitia hapa hapa na tushirikiane kulinda mazingira

06/03/2025

Umuhimu wa Elimu ya Mabadiliko ya Tabianchi Mashuleni ni upi? Kupitia kipindi cha Sayari ya Watoto , Wanahabari watoto wamejadili kwa kina kuhusu mada hii . K**a ukupata nafasi ya kusikiliza kipindi tumekusongezea wewe k**a mdau wetu sikiliza na tuambie kuna Umuhimu gani wa watoto kupata elimu hii?

🌍 SAYARI YA WATOTO πŸ“»Je, tunawezaje kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi? πŸŒ±πŸ’‘Jiunge nasi kwenye kipindi cha Sayari ya Wa...
21/02/2025

🌍 SAYARI YA WATOTO πŸ“»
Je, tunawezaje kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi? πŸŒ±πŸ’‘

Jiunge nasi kwenye kipindi cha Sayari ya Watoto tukijadili β€œNjia za Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabia Nchi” 🌍πŸ”₯.

πŸ“… Jumamosi, 22 Februari 2025
πŸ•“ Saa 10:00 - 10:30 Asubuhi
πŸ“» Dira FM 94.1

Usikose kusikiliza! πŸŽ™οΈ

Wiki iliyopita Wanahabari Watoto wamejadili kuhusu β€œAthari za Mabadiliko ya Tabia Nchi kwa Watoto” Je! Ulipata nafasi ya...
17/02/2025

Wiki iliyopita Wanahabari Watoto wamejadili kuhusu β€œAthari za Mabadiliko ya Tabia Nchi kwa Watoto”
Je! Ulipata nafasi ya kusikiliza kipindi cha Sayari Ya Watoto? Tuambie yapi ni maoni yako , lakini k**a ukufanikiwa kusikiliza usihofu tutakuwekea kipindi kizima hapa na utaweza kusikiliza kisha tuandikie ujumbe wako na uweze kuwa msikilizaji wetu bora na wa wakati wote!

13/02/2025
13/02/2025
🌍πŸ”₯ Usikose! Kusikiliza Kipindi cha Sayari ya Watoto wiki hii ambapo Watoto watajadili kuhusu athari za mabadiliko ya tab...
12/02/2025

🌍πŸ”₯ Usikose! Kusikiliza Kipindi cha Sayari ya Watoto wiki hii ambapo Watoto watajadili kuhusu athari za mabadiliko ya tabianchi kwa watoto na jamii kiujumla!

πŸ“» Jiunge nasi kila Jumamosi ndani ya 94.1 Dira FM kuanzia saa 4:00 asubuhi hadi 4:30 asubuhi.

.1

Address

Kiseke PPF, Nsumba
Mwanza

Telephone

+255755565257

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Baraza la Watoto Mkoa wa Mwanza - Mwanza Children Council posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Baraza la Watoto Mkoa wa Mwanza - Mwanza Children Council:

Share