Zawadi Yangu Initiative

Zawadi Yangu Initiative Ni shirika lisilo la kiserikali linalolenga kuwawezesha wanawake/familia zenye kipato cha chini.Kutetea haki za wanawake na watoto elimu ya Ujasilia mali

11/09/2025

Igizo

11/09/2025

Sherehe na shamrashamra za wahitimu 2025

11/09/2025

Furaha ya wahitimu katika mafunzo yetu ndiyo sehemu ya malengo makuu ya taasisi
Bupe Kyelu Bupe Kyelu

11/09/2025

Risala ya wahitimu 2025
Zawadi Yangu Initiative
Bupe Kyelu Bupe Kyelu

11/09/2025

Mahafali ya wahitimu wa ushonaji na ujasiriamali 2025

Mahafali ya tisa ya ushonaji na ujasiliamali kwa wanawake na wasichana 80  wamehitimu kutoka Zawadi Yangu Initiative tar...
11/09/2025

Mahafali ya tisa ya ushonaji na ujasiliamali kwa wanawake na wasichana 80 wamehitimu kutoka Zawadi Yangu Initiative tarehe 05.09.2025 wote wametunikiwa vyeti
Bupe Kyelu Bupe Kyelu

Zawadi Yangu Initiative tumeshiriki Kongamano la NGOS 2025 lililofanyika jijini Dodoma 11 - 13 Aug 2025. Mgeni rasmi ali...
16/08/2025

Zawadi Yangu Initiative tumeshiriki Kongamano la NGOS 2025 lililofanyika jijini Dodoma 11 - 13 Aug 2025. Mgeni rasmi alikuwa Mhe. DR. Phillip Mpango, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tumepata taarifa sahihi tulizotaka kuzijua ili kuendelea kuwawezesha wanawake na watoto. Shukrani nyingi kwa Mhe
Dr. Doroth Gwajima waziri wa wizara ya maendeleo ya jamii, Naibu waziri, viongozi na washiriki wote wa lioshiriki katika kufanikisha kongamano hili. Bupe Kyelu Bupe Kyelu

Address

Nundu Mecco Kusini
Mwanza

Opening Hours

Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Zawadi Yangu Initiative posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Zawadi Yangu Initiative:

Share