01/05/2026
🦷✨ TABASAMU NI HAKI YA KILA MTOTO ✨🦷
Leo, tarehe 1 Mei 2026 - Siku ya Wafanyakazi Duniani - Hope Dental Care wakishirikiana na Waridi la Matumaini .tz waliandaa tukio la kipekee na la moyo wa upendo.
Watoto wanufaika 58 walipewa zawadi ya thamani - Elimu ya Afya ya Kinywa na Meno, kwa nadharia na vitendo. Kwa sababu tabasamu safi linaanza na elimu bora!
Tunawashukuru kwa Moyo wote kwa upendo, weledi, na maandalizi yote yaliyofanya tukio hili liwezekane. Mungu awabariki!
Shukrani pia kwa Uongozi na Wafanyakazi wote wa .tz kwa ushirikiano na bidii isiyopungua. Pamoja, tunabadilisha maisha, tabasamu moja kwa wakati mmoja.
tz ngo
volunteer v